Series (Special thread)

Amna ni horror kidogo, ina story na plot nzuri.

ume kuwa mzito wa sinzia kila saa, sababu ya viporo πŸ˜‚
Sina mzuka yaani. Mood imekuwa dormant
Hapa mpk nii activate tena... najitahidi kujaribu kuangalia lkn nikiplay kdg tu naona sielewi naboreka...natafuta kitu chengine cha kufanya
 
Sina mzuka yaani. Mood imekuwa dormant
Hapa mpk nii activate tena... najitahidi kujaribu kuangalia lkn nikiplay kdg tu naona sielewi naboreka...natafuta kitu chengine cha kufanya
Sio lazima uangalie episode 1 yote, anza na few minutes utakapo ishia hapo hapo.

Viki kuboa viache, hata mimi huwa nafanya vetting ya starehe zinazo nipa mzuka.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…