Huyo dogo wa Squid Game kweli ni useless character
Yani tangu season 2 anahangaika kutafuta kisiwa halafu kaja kukipata, alichofanya ni kumuuliza tu kaka yake "Why?", halafu akarudi uraiani. What the f***
Jamaa sioni hata mchango wake kwenye Squid Game