Bado mwananguBado tuuu??
Nzuri sana hii ukiimaliza cheki na Moja hivi inaitwa mementoMoja ya Movie nzuri inayohitaji umakini kwenye kuangalia ili usipitwe na vitu muhimu, kama hujawahi kuona itafute uangalie kwa aliyeiona si mbaya kuirudia View attachment 3384936
Vincenzo Jr Carleen Mr Q Dr. Mariposa Guacamole sawima
Nishaicheki, kwa sasa movie ya nolan ambayo sijaiona ni DunkirkNzuri sana hii ukiimaliza cheki na Moja hivi inaitwa memento
Hiyo ya kivita ni Kali sana nayoNishaicheki, kwa sasa movie ya nolan ambayo sijaiona ni Dunkirk
Kuna chuma chake kimoja kinaitwa insomnia sio powa jamaa fundi sanaNishaicheki, kwa sasa movie ya nolan ambayo sijaiona ni Dunkirk
nitaitafuta weekend hii niicheki,Hiyo ya kivita ni Kali sana nayo
Dah na hii sijaiona pia ππKuna chuma chake kimoja kinaitwa insomnia sio powa jamaa fundi sana
Memento inatia hasiraNzuri sana hii ukiimaliza cheki na Moja hivi inaitwa memento
Itafute kakaDah na hii sijaiona pia ππ
thank you dosh, sahii nisipochanganyikiwa na movie basi sichanganyikiwi tena...πMoja ya Movie nzuri inayohitaji umakini kwenye kuangalia ili usipitwe na vitu muhimu, kama hujawahi kuona itafute uangalie kwa aliyeiona si mbaya kuirudia View attachment 3384936
Vincenzo Jr Carleen Mr Q Dr. Mariposa Guacamole sawima
Sawa mwanetu πWakuu ikitoka SQUID GAME link muhimu itumwe humu tuangalie show kali
π π π π π hatar watuu hawajitingishi yaaniSawa mwanetu π
Ikija online tu naileta hapa πWakuu link muhimu movie inakuwa tam kbla haija powa.
Nahisi mpaka saa 5 kamili tutafikiwa kaka sisi wa online π πWenye NETFLIX mzigo umeshatoka sisi wa vichakani tusubili kidogo