kwenye haya maisha mafupi, ukipata nafasi ya ku enjoy, enjoy to the fullest, ukipata nafasi ya kupenda, penda na yako yote, hakuna kitu nachukia kama majuto, neno gumu huwa ni 'laiti ningejua'...!Nilikuwa naenjoy mwanangu 😎
Olivia na yule Dr bishop na mwanae wameifanya series imekuwa Kali sanaNimeimaliza Fringe, naipa 8/10
Hiyo ya pili mbona Ina misimu mingi1. Mob City, 2. Traveler zote zina S01 pekee.
Thanks 👍 nilikuwa sijakupata vizuri mkuuHii inaitwa Traveler umechanganya na Travelers
Traveler
Kuna hii recent inaitwa MobLand, na Fargo.Thanks 👍 nilikuwa sijakupata vizuri mkuu
Ongeza na barry hapo kakaKuna hii recent inaitwa MobLand, na Fargo.
Best duo series kalii sana hizoKuna hii recent inaitwa MobLand, na Fargo.
Kali sana, wish kila mtu azicheki.Best duo series kalii sana hizo
Exactly 💯 brotherKali sana, wish kila mtu azicheki.
Shukrani Mkuu, inaonekana nzuri, nitaanza kuicheki weekend hii. Check pia hizi True Detective, The Fall na Presumed Innocent(hii ya karibuni)Ongeza na barry hapo kaka
Thanks amigo hizi zote nishatizamaShukrani Mkuu, inaonekana nzuri, nitaanza kuicheki weekend hii. Check pia hizi True Detective, The Fall na Presumed Innocent(hii ya karibuni)
Basi we mkali wa hizi kazi, unajua series kali.Thanks amigo hizi zote nishatizama
Unatupanga sana mwambaNikamuita Madelyn Cline mtoto akanipa haii nakaongea nae kidogo akadai tutayajenga dm aisee mpaka Leo niliishia kuona bikini tu na kifua Binti hakunicheki tena Cc dosho12
Ni nzuri ila kuna vitu mie vilikuwa nina nichanganya but iko powaNilishawahi sema humu mara kibao Kuna kiazi kinaitwa penguin humo🐧 miyeyusho sana huyo jamaa
Hapana sikupangi mkuuUnatupanga sana mwamba