Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 32,220
- 79,724
Huyu na Chloe Grace Mortez me naona kama huwa wanakuwa underated wakati wanajua mno kuigizaJana wachumba kama wote mmetizama metgala jana Cc dosho12
View: https://x.com/netflix/status/1919526418616353212?t=fWOtl9aZwsfstOh_GKCNLA&s=19
YesNilijua zipo 7. Hii series ni kutoka britain?
Wanatuleteaga episodes za kutosha sana.
Me kwangu bora bianca, maeve anaboa wenzake wanafanya kila kitu kuepuka vita ila yeye ndo anachochea,tena anataka kumuua na seraphina, series nzima nawakubali watu wa 3 tu Harry, conrad na seraphina ni wababe na wanatumia akiliWho do you hate more:between Bianca in “A day of the Jackal” and Maeve in “Mobland”? Cc Mr Q dosho12 Carleen if cap fits
Mule neno cunt limetumika mara nyingi mno 😀 😀 mie nimelipenda lile libinti zosia mtoto ana rangi ya chocolate 😎 yule muhindi nae ana balaa mno mtoto seraphina😋Me kwangu bora bianca, maeve anaboa wenzake wanafanya kila kitu kuepuka vita ila yeye ndo anachochea,tena anataka kumuua na seraphina, series nzima nawakubali watu wa 3 tu Harry, conrad na seraphina ni wababe na wanatumia akili
Wow kapendeza ila angetoa kofia kidogo inataka kuharibu style.
Mtoto fundi sana huyoWow kapendeza ila angetoa kofia kidogo inataka kuharibu style.
Huwa sipendi kpop ila jennie namkubali
Kwanza episode 6 ikiachiwa unijuze maana nimejikuta natafuna episodes zote 5 na kujikuta nimewafikia nyie mliokuwa mnaenda na episode mojamojaWho do you hate more:between Bianca in “A day of the Jackal” and Maeve in “Mobland”? Cc Mr Q dosho12 Carleen if cap fits
Ana ile vibe sio ya kujipendekeza sana yupo coolMtoto fundi sana huyo
Kuna waigizaji huwa wanachukulia role zao serious mpaka unaweza kuwaogopa ukikutana nao kama yule jamaa aliyeigiza Jeffrey Dahmer au joe goldberg kwenye You jamaa wamekaa kiuwaji kabisa, au little finger kwenye GOT yule jamaa hata kiuhalisia anasura ya kuto kuaminika 😃😃😃Kwanza episode 6 ikiachiwa unijuze maana nimejikuta natafuna episodes zote 5 na kujikuta nimewafikia nyie mliokuwa mnaenda na episode mojamoja
Pili nadhani bianca alichukiwa na wengi. Kwa sababu kila aliyeipenda ile series hakujali kama the jackal anafanya mauaji au lah. Mtazamaji yeye alicho jali ni kutamani jackal amalize misheni zake. So isingekuwa rahisi Bianca kupendwa regardless anafanya kazi yake ya kipolisi au yupo kwenye haki.
Tatu
Mi namchukia EDDY kwa sababu ni kichwa ngumu. Haelewi ni position ngumu kiasi gani kaiweka familia yake. Jambo linalosababisha HARRY ajikute kwenye hekaheka zisizo na ulazima.
Anyway hizi ni muvi na series tu. Tusichukulie serious saaaaanaa 😁😁
IRIS UNAIFAHAMU?Nikioshaona korea tu, huko kwengine simalizii kusoma..
Mimi nishajiwekea utaratibu series/movie yoyote ya kikorea siangalii hata iwe na rate ya 10/10.
Muongezee na parasite anaifahamuIRIS UNAIFAHAMU?
Hio list ikikosa mtaalam theodore bagwel "T-bag" inakua haijakamilika😂Kuna waigizaji huwa wanachukulia role zao serious mpaka unaweza kuwaogopa ukikutana nao kama yule jamaa aliyeigiza Jeffrey Dahmer au joe goldberg kwenye You jamaa wamekaa kiuwaji kabisa, au little finger kwenye GOT yule jamaa hata kiuhalisia anasura ya kuto kuaminika 😃😃😃
😄😃Hio list ikikosa mtaalam theodore bagwel "T-bag" inakua haijakamilika😂