Kuna movies mbili za sherlock nikiwahi kuzicheki.. Unataka kusema kuna series yake niruke nayo chap? Maana wana mapigo fulani hivi ya hatariVyuma vyangu 5 vya series vikali kuwahi kuvitazama tangu nipate kujua tofauti ya series na movies:
1. BREAKING BAD π
Hii kama kungekuwa na mashindano ya series kali kwenye Galaxies, Milk Way Galaxy tukiipeleka hii kazi, WE ARE NOT IN DANGER, WE ARE THE DANGER, tunanyakua tuzo mapema kabisa.
View attachment 3297520
2. SHERLOCK
Nani kama Sherlock Holmes!?
Hii mali ni kisanga sana mzee, fanya uhalifu uwezavyo, tukimkodi Sherlock Holmes hautoboi, lazima tukuweke nyuma ya NONDO.
View attachment 3297522
3. RICK AND MORTY
Oyaaa weeeeh, tulia hivyo hivyo. Maana najua utashtuka!
Usiseme cartoon ni mbanga za kitoto, maana nitakuona ni mshamba zaidi ya Bartimaeous!
Rick Sanchez, best scientist in the galaxy, huyu mzee ni mwanafalsafa konki, kila akiongea anatema facts!
Wazee wa kataa ndoa mtaipenda hii kazi, humu ndani Rick Sanchez anakuambia Weddings are basically funerals with cakes!
Unapenda Sci-fi? Unapenda comedy?
Changamka tafuta hiki chuma uenjoy wewe!!!!
View attachment 3297551
4. BAND OF BROTHERS
Unajifanya unapenda sana kazi za majeshi na bado haujakiona hiki chuma!? Aaaah, basi weh Zuchu tu!
Humu ndani zinapigwa shaba mpaka Zambia wanaona wivu!!!
Kutana na E-Coy, kombania iliyobeba matumaini ya kikosi cha jeshi la Marekani katika WW II.
Wale wazee wenzangu wa NO REFORM NO ELECTION, kabla hatujaingia barabarani chukueni huu ujumbe kutoka kwenye Band of Brothers:
The only hope you have is to accept the fact that you're already dead. The sooner you accept that, the sooner you'll be able to function as a soldier is supposed to function: without mercy, without compassion, without remorse. All war depends upon it.
View attachment 3297643
5. TRUE DETECTIVE
Eeeh bwana, hiki chuma nimekiweka hapa namba 5 kwasababu nimetazama season 1 tu, hivyo hii sababu inafanya hiki chuma kiwe cha mwisho kwenye rank zangu za vyuma vitano(5) matata nilivyowahi kuvitazama.
Ingekuwa series zote zinaishia season 1, basi niseme hakuna kigongo cha kuchuana na kigongo hiki.
View attachment 3297688
ππππKuna movies mbili za sherlock nikiwahi kuzicheki.. Unataka kusema kuna series yake niruke nayo chap? Maana wana mapigo fulani hivi ya hatari
Ni katuni?Ahahaaah!
Episode ya kwanza tu inatosha kujua kwamba hii sio ya watoto!
Kuna sehemu Jerry analalamika tabia ya Rick kutumia muda mwingi na mtoto wake (Morty) kufanya mishe zake binafsi. Analalamika kuwa performance ya mwanae shuleni itashuka.
Ona jibu alilotoa Rick Sanchez.
Rick: Listen, Jerry. I-I-I don't want to overstep my bounds or anything. It's your house. It's your world. You're a real Julius Caesar but I'll tell you somethingβtell you how I feel about school, Jerry. It's a waste of time. Buncha people running around, bumping into each other. G-guy up front says, "two plus two." The people in the back say, "four." Then theβthen the bell rings, and they give you a carton of milk and a piece of paper that says you can go take a dump or something. I mean, it's not a place for smart people, Jerry. And I know that's not a popular opinion, but it's my two cents on the issue.
Mtoto akiona hii ataitazama shule kwa jicho la utofauti.
Yes!Ni katuni?
Kwa episodes mbili Tu!?π€basi itakuwa yamoto sanaMobland kazi, naipa 9/10
NaishushaTafadhali tafadhali. Kama unataka siku yako iende vizuri usiache kuangalia muvi hii inayo itwa
novocaine.
hutajutia
View attachment 3299259
Bila kuangalia rates za mitandaoni mi naizawadia 8/10
Mke wa Michael Fassbender (wa The Agency) huyo mkuu. Achana nae. Hata Amanda Seyfried naye kaolewa. Yaani hata Elizabeth Olsen nae kaolewa.Ni yeye Binti mzuri sana yule anaitwa Alicia Vikander
Watoto wazuri sana hawaMke wa Michael Fassbender (wa The Agency) huyo mkuu. Achana nae. Hata Amanda Seyfried naye kaolewa. Yaani hata Elizabeth Olsen nae kaolewa.
Fanya kukomaa na akina Maria Sten (Neagley) na Willa Fitzgerald (Roscoe)
View attachment 3299313
View attachment 3299314
Watoto wazuri ni hawaWatoto wazuri sana hawa
Naunga mkono hoja hapo Kwa Anna mtoto mzuri mno yaani sedney nilimuona Istanbul Airport pale alikuwa na bodi gadi kama wote nilishindwa kupiga nae picha aiseeWatoto wazuri ni hawa
1. Camila mendes
View attachment 3299494
2. Anna de amas
View attachment 3299495
3. Sedney sweeney
View attachment 3299496
4. Amandla stenberg
View attachment 3299497
5. Halle bailey
View attachment 3299499
Kwa hawa watoto nipo tayari kuuza figo za member wa jamii forums wote ili niwapate πππ
Hyo camila mendes ana movie zinaitwa Do Revenge na Upgraded ni nzuri ushazichekiNaunga mkono hoja hapo Kwa Anna mtoto mzuri mno yaani sedney nilimuona Istanbul Airport pale alikuwa na bodi gadi kama wote nilishindwa kupiga nae picha aisee
Nampata vyema huyu kaka sio powaHyo camila mendes ana movie zinaitwa Do Revenge na Upgraded ni nzuri ushazicheki
kuna season moja inaitwa The Twilight Zone. Ipo tofauti kidogo kila episode inastory mpya na waigizaji wapya, nzuri mnoNampata vyema huyu kaka sio powa
Cami mendez nimemfaidi kwenye series ya Riverdale. Alikua na mwenzie wa kuitwa Betty Copper, mtoto ni mkali sana.Watoto wazuri ni hawa
1. Camila mendes
View attachment 3299494
2. Anna de amas
View attachment 3299495
3. Sedney sweeney
View attachment 3299496
4. Amandla stenberg
View attachment 3299497
5. Halle bailey
View attachment 3299499
Kwa hawa watoto nipo tayari kuuza figo za member wa jamii forums wote ili niwapate πππ
Nakubaliana na wewe Betty copper ni mzuri. ila riverdale ilianza kuboa walipokuwa ma super heroCami mendez nimemfaidi kwenye series ya Riverdale. Alikua na mwenzie wa kuitwa Betty Copper, mtoto ni mkali sana
Amandla now kawa miyeyusho mnoCami mendez nimemfaidi kwenye series ya Riverdale. Alikua na mwenzie wa kuitwa Betty Copper, mtoto ni mkali sana.
S. Sweeney huyu mtoto amekaa kimahaba sana. Kwenye Euphoria muda wote alikua anautaka π₯
Amandla alianza kuja vizuri baadae nikasikia dogo ni lesbian na siku hizi kakondeana sijui anakula madawa..
Ni hii ngoja Nii download Unwahrscheinliche Geschichten (TV Series 1959β1964) β 9.0 | Drama, Fantasy, Horrorkuna season moja inaitwa The Twilight Zone. Ipo tofauti kidogo kila episode inastory mpya na waigizaji wapya, nzuri mno
Yenyewe ya 2019 achana na hyo ya zamaniNi hii ngoja Nii download Unwahrscheinliche Geschichten (TV Series 1959β1964) β 9.0 | Drama, Fantasy, Horror