Ila Adolescence pale hamna kitu, mi ilinishinda nikaipiga chini... ni kama tu na The night of, inaanza vizuri ila huko mbele hamna kitu!Humu usipo kaa sawa utaangalia series Kwa kuruka ruka sana
Juzi nmetoka kuiponda adolescence mpk nimeacha kupakua episode zinazofata now nipo American primeval.... Tamu balaa.
Zipo nyingi sanasijawahi kuona movie yake nyingine yofauti na tomb rider
ππSasa hivi tutazame hiiIla Adolescence pale hamna kitu, mi ilinishinda nikaipiga chini... ni tu na The night of, inaanza vizuri ila huko mbele hamna kitu!
Hii ni Kali sanaMwamba huyu hapa. Mpaka umtapishe ukweli inabidi umwigie kisaikolojia kwelikweli
View attachment 3296829
jamaa liliua mabinti karibia 21 na ilikuwa kidogo lishinde kesi.
hakika BLACKBIRD nimeipenda. Haina action ila namna wanavyo simuliana visa unajikuta kama unaangalia action zenyewe
jamaa anakiri kufanya mauji ambayo hakuyafanya ili wasimshtukie kwa aliyoyafanya thats Genius. π«‘π«‘π«‘Mwamba huyu hapa. Mpaka umtapishe ukweli inabidi umwigie kisaikolojia kwelikweli
View attachment 3296829
jamaa liliua mabinti karibia 21 na ilikuwa kidogo lishinde kesi.
hakika BLACKBIRD nimeipenda. Haina action ila namna wanavyo simuliana visa unajikuta kama unaangalia action zenyewe
Mtoto mmoja hivi mwenye asili ya ufanransa na Ukraine huyu hapa Olga Kurylenko | Actress, Writer, ProducerHapana ni yupi
Jamaa miyeyusho sana ingekuwa kibongo. Bongo now yupo zake segerea anakula maharagejamaa anakiri kufanya mauji ambayo hakuyafanya ili wasimshtukie kwa aliyoyafanya thats Genius. π«‘π«‘π«‘
Ila kibongo bongo sio wazo zuri maana ukishakiri mapolisi wa huku ni wavivu hawafanyi tena uchunguzi utafia jela ππππ
Shukrani mkuu π€£π€£ππSasa hivi tutazame hiiView attachment 3296828
uzinzi tu,View attachment 3296770View attachment 3296771
Hizi movie mbili Kuna mabinti wawili ambao Kila nikiwaonaga mnara unasoma 5Gππ
Kumbe huyu namjua nimemuona movie nyingi 1. Oblivion 2. Black widow 3. John english, n.k sema jina ndo silijuiMtoto mmoja hivi mwenye asili ya ufanransa na Ukraine huyu hapa Olga Kurylenko | Actress, Writer, Producer
ππMambo ππuzinzi tu,
na qwaresma yote hii..??π
Yupo pia kwenye hitman mule alikuwa miyeyusho sana πKumbe huyu namjua nimemuona movie nyingi 1. Oblivion 2. Black widow 3. John english, n.k sema jina ndo silijui
thank you for assurance, ndiyo nipo episode ya pili..!!Mwamba huyu hapa. Mpaka umtapishe ukweli inabidi umwigie kisaikolojia kwelikweli
View attachment 3296829
jamaa liliua mabinti karibia 21 na ilikuwa kidogo lishinde kesi.
hakika BLACKBIRD nimeipenda. Haina action ila namna wanavyo simuliana visa unajikuta kama unaangalia action zenyewe
Apple TV wana series Kali sana wale jamaathank you for assurance, ndiyo nipo episode ya pili..!!
Ila sio kosa lako kuna viungo vyingine kwenye mwili vinajicontrol vyenyewe πππππMambo ππ
Kabisa mkuu π π sio powa watoto ni wazuri mno ππIla sio kosa lako kuna viungo vyingine kwenye mwili vinajicontrol vyenyewe πππ