ah sam alikuwa anajitamba anapiga china town zima kisa anapigana na wahuni tu na maaskari ile siku limeandaliwa pambano na yule jamaa anayempenda mai ling ndo alijua kuna watu wako serious na ngumi ilibaki kidogo limvunje shingo isingekuwa polisi kuingilia π
π
π