Nasubiri part2. Instead wametuletea den of thieves halafu wameiharibuTHE VAULT
ni movie inayohusianana na dogo mwenye akili nyingi anakataa deal la kampuni kubwa ya kufanya kazi badala yake anajiunga na kundi la wizi kwa lengo la kufanya wizi kwenye bank ambayo ina ulinzi mkubwa na inasimamiwa na mkuu wa security nae ana akili. So ifuatilie hautajutia
Hivi director wa den of thief ndio huyo wa the vault?Nasubiri part2. Instead wametuletea den of thieves halafu wameiharibu
HapanaHivi director wa den of thief ndio huyo wa the vault?
Naona wadau mnailaumu Den of Thieves, nilitaka kuishusha ngoja naichane nayoNasubiri part2. Instead wametuletea den of thieves halafu wameiharibu
Tayari hii mbona mkuuView attachment 3286912wakuu hii si yakukosa..
Link ya trailer yake niicheki. Maana youtube naitafuta siipati
Hii season 1 trailer lakeLink ya trailer yake niicheki. Maana youtube naitafuta siipati
Sasa mimi nikawa natafuta 15 days kumbe ni last of us? Sawa kijana ππHii season 1 trailer lake
View: https://youtu.be/uLtkt8BonwM?si=ieSKTnJgeudKX4Xh
Hii season 2 trailer lake
View: https://youtu.be/_zHPsmXCjB0?si=EusqzYaDB6nwDOeq
πππSasa mimi nikawa natafuta 15 days kumbe ni last of us? Sawa kijana ππ
ππππSasa mimi nikawa natafuta 15 days kumbe ni last of us? Sawa kijana ππ
ππππππππππ
Ila Cassano bhaana, mwenyewe nilikuwa nataka nikatafute trailer ya 15 days..!π
Kwanini inasuasua kutoka kwa episode mpaka ni episode 3 tu?Tayari hii mbona mkuu
Kwa upande wangu niliienjoy mno wanaoiponda sijui wanaoiponda kwenye niniNaona wadau mnailaumu Den of Thieves, nilitaka kuishusha ngoja naichane nayo
Wanatoa Kila jumapili EP mojaKwanini inasuasua kutoka kwa episode mpaka ni episode 3 tu?
Kali SanaKitu kitu kingine hiki hapa
No Escape kuna boti moja inaitwa Blue ilipatikana australia ikiwa na michirizi ya damu alama za risasi ila hakuna maiti hata moja, ikitokea ufilipino ambapo kulikuwa na watu saba ila aliyebaki ni mmoja hivyo series inaelezea nini kilitokea mpaka akabaki mtu mmoja akielezea akiwa anahojiwa na maaskari.
View attachment 3270265
Den of thieves 2 imekaa kindezi sana story kama imetungwa na mtoto wa darasa la 2Kwa upande wangu niliienjoy mno wanaoiponda sijui wanaoiponda kwenye nini