Series (Special thread)

Movie hii jamaa mmoja alikuwa kama kichaa anateka wanawake anachinja, Kosa moja alilofanya ni aliua mke wa afisa usalama jamaa alieuliwa mke akaomba likizo kazini kwake kumsaka muuaji, alivyofanikiwa kumpata alimpa mateso akamuacha na GPS mwilini akawa anamfatilia akimkamata tena kipondo alaf anamtibia anamuacha..

Balaa mbeleni jamaa alijua kawekewa GPS akafanikiwa kuitoa mtiti wake sio mdogo

NB:Movie ni single ya kiKorea
 
Hiki chuma kikali sana huyo jamaa pichani alijijifanya muhuni akakutana na muhuni zaidi yake alichomfanyia sio powa kamuekea chipu tumboni akifanya tukio anafika eneo husika anaruka nae 😀😃
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…