Series (Special thread)

Samahani kwa usumbufu mkuu
Kuna sehemu imeandikwa download subtitle...
Ndo hapo napakukia au hapo ni subtitle tu
 
mshamba_hachekwi, Franky Samuel, Greatest Of All Time Leo nime kaa Nika waza kwanini Jesse haku wahi

Hivi kati ya better call Saul na peaky blinders ipi ni nzuri zaidi hapo.
 
Kabisa zamani tulikuwa tunapewa EP 20 za moto mfano mzuri ni fringe
Yaaah!
Fringe mzigo safi sana, japo mimi binafsi series za "hekaheka" ambazo lead character anakuwa mwanamke huwaga zinanishinda kuzifuatilia.
Kama hii Fringe nimemaliza season 1 kwa mbinde sana.
 
Unatumia kifaa gani kuangalizia mku
Daah mnawezaje kuangalia movie kwa resolution ya kawaida hvyo..
Mm huwa navizia WIFI ya ofisini na kupakua movie zenye Quality ya juu sana
Unakuta episode moja tu ina MB 700 na kuendelea
u 😁😁
Kwangu mimi hii 720p naona inanitosha. Zipo movies huwa nalazimika kuzichukua kwa 1080p kama zile za jason statham, john wick zote, bourne zote, the jack yote. Yani watu wawe wameumiza vichwa haswa ndio muvi au series yake nitaichukua kwa quality ya juu zaidi ya hapo
 





Hapo nimekuelewa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…