Series (Special thread)

Kaangalie na hii. Hatari tupu humu ndani
Inaitwa Solo Leveling
View attachment 3182707
Nilikuwa kwenye Guest mode

Mada ya anime ilivyoaanza imenibid nilogin kuchangia😃😃😃

Hiyo Arcane ni balaa sema niliangalia season one kitambo sana nahisi nimesahau matukio mengi... Nataka nishushe nianze nayo ya kwanza ili niende nayo vizuri....


Solo Leveling ni mashine nyingine hakuna mfano nangojea season two
 
Zile anime sio za watoto ni za watu wazima😃
 
Mzee Tirso, ni mmoja kati ya Maveterani wa vita miaka hiyo.

Mjukuu wake wa kike baada ya ujana kuwa mwingi anaingia kwenye msala na wauzaji wa dawa za kulevya.

Mzee Tirso ili asimpoteze mjukuu wake anaamua kuingilia msala.. Kilichoendelea mzigo huu hapa.

Huyo mzee kakomaa kama kigunzi humo ndani dadeki 😎

Seasons complete zipo 03 tu. Mzigo unaitwa ‘Wrong Side of theTracks
 
Kuna fujo Mr Q Carleen

Set ni miaka ya 1980’s, FBI agent anaitwa Terry anaenda kwenye moja ya eneo kijijini kufanya uchunguzi wa series za kesi za wizi kwenye benki ambao ulikua unafanywa na watu.

Uchunguzi wa mwanzo unaonesha watu wanaofanya hivyo hata lengo lao sio pesa, bali kuna ajenda ya siri ambayo wanaindaa. Ni ajenda gani hiyo? Mzigo huo hapo.

Ni story ya ukweli. Huu mzigo nao wa kuchill kwa wakati huu, unahitaji akili nzuri sio wazee wa kuruka ruka shaku! Shaku!



Link hii hapa tumia torrent
 
Kuna ka show ka zamani kidogo ila kanafaa kwa hiki kipindi kwa watu wanaowaza namna ya kupiga hela za kusherekea mwaka mpya.

Kanaitwa "Hustle". Humo kuna akina Mickey Bricks na Danny Blue wakicheza na akili za watu na kuchukua pesa zao kiulaini.
 
The day of jackal nilijua imekwisha kumbe inaendelea
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…