Series (Special thread)

Sahihi.
Tena kuna animation zina story kali Sana.

Mpaka unawaza mtunzi alikuwa anafikiria nini hasa hasa Japan animes.
 
Sahihi.
Tena kuna animation zina story kali Sana.

Mpaka unawaza mtunzi alikuwa anafikiria nini hasa hasa Japan animes.
Mwanzoni nilikuwa siangalii hivi vitu ila tangu nimeanza sijawahi kosa cha kuangalia. Maana kuna wakati unafika unatafuta movie kali kika inayokuja unakuta average.
Nikaamue nianze kuangalia Anime, sikuhizi huwa nawasikilizia Wamarekani na Waingereza, Kama hawajatoa single kali najipoza na Anime halafu wakiachia vyuma huku kama Venom, Red One, The Day of the Jackal naangalia halafu zikiisha narudi tena kwenye anime
 
Huwa nakubali sana series zinazokuja na idea tofauti!πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
Swala la dunia ni barafu ya kutosha kwa nje af wana wanaishi kwenye treni ambayo inazunguka/inatembea (haipaswi kusimama) πŸ˜ƒπŸ™ŒπŸ½πŸ™ŒπŸ½
naunga mkono hoja mkuu series kalii sana hii
 
Bado siku 3 tupate game la kikorea πŸ˜ƒπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ŽπŸ˜Ž
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…