Series (Special thread)

Kraven: The Hunter 2024
Ndio mara ya kwanza kuona movie ya Marvel wameigiza Tanzania kwenye scene moja. Ila naona final battle ilikuwa fupi kuliko nilivyotarajia. Sio mbaya ila.
Naipa 6/10. Natumai Kraven 2 ikitoka itakuwa balaa zaidi ya hii.
 
Hawa sio marvel ni SONY na kusema kweli hii movie wamezingua sana original story na kitu walichokuja kukileta ni vitu viwili tofaout mimi naipa 2/10
 
Hawa sio marvel ni SONY na kusema kweli hii movie wamezingua sana original story na kitu walichokuja kukileta ni vitu viwili tofaout mimi naipa 2/10
Sony Pictures in Association with Marvel 😆😆
Ila sio siri hii movie ukiangalia trailer lake linakuwekea expectations kubwa ila ukija kuangalia movie unakuwa tu dissapointed
 
Kama umependa ‘The Day of the Jackal’ ruka na hizi;

  • The Continental (2023)
  • The Serpent (2021)
  • Bodyguard (2018)
  • Homeland (2011 - 2020)

 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…