Series (Special thread)

Wenyewe washakwambia wanarelease alhamisi, mtu bado ana haraka.
Kwenye feeds za Google walionesha release date kuwa ni tarehe 11



Ila nilipoona wamefanya uhuni kwenye lile file nikaamua kuzama IMBD kuhakikisha vizuri

Ndio nikaona wametsja tarehe 19 kuwa ndio siku itayoachiwa.

Lakini nao IMBD wanaongeza mkanganyiko maradufu. Wao wameandika episode 9 inatoka tarehe 12 yani leo wakati mimi nimeiangalia siku 2 zilizopita.

Mpaka saizi nashindwa kuelewa ipi ni tarehe rasmi ya kuachiwa episode ya 10

 
Miongoni mwa series pasua kichwa kwa sababu ya utamu wake na namna walivyo bana isivuje ni pamoja na hii. Ila Ep9 walionesha kuwa next ep ni siku ya alhamis yaani leo. Mi nikupe pole kwa kuunguza ma GB kwa sababu iliwahi kunikuta. Huku pirate wameandika HD nikashusha file la 3GB kama unavyp jua wengine hatuna wi-fi ... Kuja kuiangalia ni CAM version nikachoka.
 
Unakumbuka nilikwambia pirate bays ni sehemu ya kihuni sana ila Leo inaweza ikavuja huko huko au kesho ijumaaaπŸ˜„πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Sema kwasababu natumia WiFi, vinginevyo ningewatia laana
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…