Junior. Cux
JF-Expert Member
- Feb 3, 2011
- 5,319
- 3,797
Sorry mkuu hii ngoma umeipakulia wapi asee....nimeingia youtubu nmeona wameiondoaaa na sehem nyingine nmeona hawajaiingiza kwenye list zao
Samahani wakuu, naombeni msaada wa kunielekeze jinsi ya kuifanya Torrent iwe na speed ya ku download 7bu yangu inachezea kwenye 2.8-100 kbs. Natanguliza shukrani
Uwe unadownload file lenye asilimia kubwa ya seeds..Hiyo inasaidia torrent kuwa fast zaidiSamahani wakuu, naombeni msaada wa kunielekeze jinsi ya kuifanya Torrent iwe na speed ya ku download 7bu yangu inachezea kwenye 2.8-100 kbs. Natanguliza shukrani
Thanks kwa kushare tunaisubiri tuione.
Naisubiri...usisahau kutustua ikishakuwa kwa torrents
Jon Bokenkamp alicreate the call na taking lives!! Ni jembe! Tommorow (Thursday is the finale ya season3! Yani nasisimkaHuyu mwandishi wa the blacklist ni ny.oko wallah yaaan hua nasisimka kila ijumaa ikifika
Jana nimeicheki into the badland ni nzuri ina msisimko na visa na mkasa, episode 1 niliipata 02tvseries.net.
Yaaani ni hatari balaa
Hiyo x company naona haipatikaniki kwenye torrent,Kuna namna ya nyingine ya kui download?
Shukran sana sahivi nina list series mpya nzuri
1)into the badland
2.)quatinco
3)blindspot
4)agent x
5)the bustard executioner
Shukran sana sahivi nina list series mpya nzuri
1)into the badland
2.)quatinco
3)blindspot
4)agent x
5)the bustard executioner
ongezea blood and oil hapo twende sawa...
ongezea blood and oil hapo twende sawa...
Mie hii haikunivutia
some couples wameuza kila kitu na kwenda kuanza maish mapya sehem yenye oil production...Blood and oil inahusu nini mkuu?