Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 32,248
- 79,831
Mimi huwa nikiona series ya aina hii pengine naweza hata kuifuta kwenye pc yangu upinde wanatuharibia sana movie na series walianza hadi kwenye last of us aisee mpaka Leo ile series kile kipande sikutazama tena nilivuka EP nyingineHatari sana mkongwe!
Kuna kipindi utazoea kuangalia, utajikuta ghafla tu umeacha habari ya kupeleka mbele scene za namna hiyo (that's how brain works).
Miaka ya nyuma movies au series za ACTION ilikuwa hauwezi kukuta ujinga wa mapenzi ya jinsia moja.
Hii kitu ya The Jackal ni ya moto sana, ilifanikiwa kuteka hisia zangu. Mara paaap, episode ya 6 hiyo 🤮🤮🤮🤮.
Hatari sana mkongwe!
Kuna kipindi utazoea kuangalia, utajikuta ghafla tu umeacha habari ya kupeleka mbele scene za namna hiyo (that's how brain works).
Miaka ya nyuma movies au series za ACTION ilikuwa hauwezi kukuta ujinga wa mapenzi ya jinsia moja.
Hii kitu ya The Jackal ni ya moto sana, ilifanikiwa kuteka hisia zangu. Mara paaap, episode ya 6 hiyo.
NdioIshafika ep 8
Nikishaona series au movie mtoto wa kike anawatwanga wanaume huwa mzuka unakata, hata hii The Jackal nimeivumilia sana.Ndo kusema hili dude halina mashabiki humu?
Kwa pisi hamna, kwanza hata mapenzi hawafanyi, kama unapenda mambo ya harakati basi karibu ujionee jinsi binaadam anavyopambania uhuru wake,
Nipo season 2, ep 2.
Nikishaona series au movie mtoto wa kike anawatwanga wanaume, hata hii The Jackal nimeivumilia sana.
Vincenzo Jr
Hivi kweli Bianca wa kumtwanga Larry?
Wewe ni Muafrika halisi mkuu!Ila Bianca ana shape matata sana
Ngoja niishushe, nikiona ujinga wao nitapeleka mbele kama Broh Vice.Ishafika ep 8
Ila unajua huu upuuzi wa kutoa kipande kimoja kila wiki unatutesa sana watu mkongwe.Hii silo season 2 inavuja sana watu wao wa marketing wapo hovyo sana eti wakubwa wameshaidaka EP ya 4 na ya 5 wanazo mda si mrefu wanavujisha mtandaoni
Series zinazotoka Moja Moja wanatageti kupiga pesa ndefu sana mfano mzuri ni the penguin na presumed innocent Kila kipande wanakula watazamaji wengi Sana tofauti na wanazotoa full mda mwingine zinabumaIla unajua huu upuuzi wa kutoa kipande kimoja kila wiki unatutesa sana watu mkongwe.
Me nawakubali sana NETFLIX, japo nao naona wamefanya huu upuuzi kwenye ARCANE.
Yule bianca angekuwa demu wangu ningefaidi sana hata akinipiga safi tu ilimradi na Mimi nampiga magetoni 😃😃Ila Bianca ana shape matata sana
Yule bidada ni mwanajeshi wa viwango vya juuu sana😃😃Nikishaona series au movie mtoto wa kike anawatwanga wanaume huwa mzuka unakata, hata hii The Jackal nimeivumilia sana.
Vincenzo Jr
Hivi kweli Bianca wa kumtwanga Larry?
Walio ivujisha peponi moja kwa moja. Sijui wanasubiri nini kwa JACKAL?Hakuna muda wa kupoteza
RATIBA
The Agency (TV Series 2024– ) - Episode list - IMDb
The Agency (TV Series 2024– ) - Movies, TV, Celebs, and more...m.imdb.com
Ukitaka kuisubiria yote subiria mpaka January 24 Cc Mr Q Carleen
View attachment 3165112
Zikwapi izo mkuu tunakutegemeaa ujueHii silo season 2 inavuja sana watu wao wa marketing wapo hovyo sana eti wakubwa wameshaidaka EP ya 4 na ya 5 wanazo mda si mrefu wanavujisha mtandaoni
Yule bianca angekuwa demu wangu ningefaidi sana hata akinipiga safi tu ilimradi na Mimi nampiga magetoni
Silo season 2 si hamna yale marangirangi?