Wapenzi wa action series hususani martial arts...
Kuna series mpya inaanza inaitwa 'Into the Badlands', season premiere itakuwa Nov 15 ikirushwa na stesheni ya AMC (USA)...
Nimetazama trailer yake, inaonekana kutakuwa na 'mkono' wa hatari...
Hivyo kwa bongo kuanzia Nov 16 itakuwa inapakulika kwa wale wazee wa torrents...
Hujaelewa kitu gani? Sehemu ipi ambayo haijaeleweka
limitless tu ndio siangaliiiii..... tunaenda sawa mkuuNew tv series nnazozipenda.
1.The last kingdom
2.Narcos
3.Quantico
4.blindspot
5.the bastard executioner
6.limitless
the walking dead ina season ngapi??
american oddsey ni bonge la series ikifatiwa na antalantis
:-$Ipo season ya 6 sj.:-!wasa...
american oddsey ni bonge la series ikifatiwa na antalantis
Hujaelewa kitu gani? Sehemu ipi ambayo haijaeleweka
Naisubiri...usisahau kutustua ikishakuwa kwa torrents
Thumbs up for The Blacklist���� red ni shida
a wiseman can learn more from the stupid question than the stupid person can learn from a wise answer- THE BLACKLIST- Raymond noma
THE BIG BANG THEORY-sheldon cooper hatari sana, top zangu hzo kila alhamis episode mpya
Walle wapenz wa action n mission kuna series mpya inaitwa agent x ina wiki ya pili now
Plz itafuteni
Walle wapenz wa action n mission kuna series mpya inaitwa agent x ina wiki ya pili now
Plz itafuteni
Wapenzi wa action series hususani martial arts...
Kuna series mpya inaanza inaitwa 'Into the Badlands', season premiere itakuwa Nov 15 ikirushwa na stesheni ya AMC (USA)...
Nimetazama trailer yake, inaonekana kutakuwa na 'mkono' wa hatari...
Hivyo kwa bongo kuanzia Nov 16 itakuwa inapakulika kwa wale wazee wa torrents...
Hii kitu inaonekana itakua hot sana... nshacheki episode ya kwanza sijutii muda wangu
Kwani ishatoka mkuu hiyoo episode 1
Tiari budda... fanya kuiangalia