Nilikua nachochea mwamba agongwe ban sasa tukapigwa woteπππππPole sana
Nani huyo πππππNilikua nachochea mwamba agongwe ban sasa tukapigwa wote
Komeo la chumaNani huyo πππππ
Humu mtu ukiona anazingua muweke ignore list usizinguane nae humu wengi miyeyusho ndugu yanguKomeo la chuma
Yule alisema simba ikishinda apigwe banππHumu mtu ukiona anazingua muweke ignore list usizinguane nae humu wengi miyeyusho ndugu yangu
ππππ Miyeyusho huyo πππYule alisema simba ikishinda apigwe banππ
Tunayo boxing dayView attachment 3160430
Mwezi ujao π
Hebu msimalize uhondo naenda mzigoni sasa niliacha 1080 inashuka itakua ishamalizaJim ameuwawa kinyama akimtetea mwanae Vincenzo Jr
Ndugu yangu nimelia sana ila inaonekana msimu ujao wale creatures watakuwa wanapiga Dili hadi mchana π maana kijana wao ntu ya Dili smile karudi mjengoni nae dogo Elgin kaliwa kichwaJim ameuwawa kinyama akimtetea mwanae Vincenzo Jr
Exactly π― brotherTunayo boxing day
πππππππππUkute imenasa kwenye asimilia 28Hebu msimalize uhondo naenda mzigoni sasa niliata 1080 inashuka itakua ishamaliza
Sema mpaka 2026 tutakuwa na alosto ndefuNdugu yangu nimelia sana ila inaonekana msimu ujao wale creatures watakuwa wanapiga Dili hadi mchana π maana kijana wao ntu ya Dili smile karudi mjengoni nae dogo Elgin kaliwa kichwa
Tunatumia mkonga wa taifa usiochakachuliwaπππππππππUkute imenasa kwenye asimilia 28
π€£π€£π€£Hebu msimalize uhondo naenda mzigoni sasa niliata 1080 inashuka itakua ishamaliza
Na kwa afya yangu sijui kama nitafika afu 2026 πππSema mpaka 2026 tutakuwa na alosto ndefu
ππππ Ikigoma kachukue ya medeberiyaa ni sekunde tu inajaa kwenye mashine yakoTunatumia mkonga wa taifa usiochakachuliwa