Naifatilia Master of the Air sioni maajabu kabisa, imeachwa mbali na series zenye kariba kama yake mfano mzuri Red Tails. Kama bando la kuunga achana nayo
Mimi wamenikera jamaa kuanza kujulikana mapema sana, yani imekuwa simple sana kumjua anayehusika hata kama hawamjui kwa sura. Ilitakiwa aanze kujulikana ikifika episone ya 8 au 9 huko.