Sicario poison
JF-Expert Member
- Jan 1, 2021
- 2,325
- 4,569
Nipeni series kali kama hii asee duhh full burudani huu mzigo nilicheki mwaka janaKuna uyu jamaa anaitwa Burton, jamaa ni mkimya sana ila shughuli yake ni pevu alafu haogopi namfananisha na Gustavo wa Breaking Bad ila tu uyu ni bodyguard wa tajiri.
Jina la Series ni BansheeView attachment 3148959
Nipeni series kali kama hii asee duhh full burudani huu mzigo nilicheki mwaka jana
Hatari sana iki kigongo nmechelewa sana kukicheckBanshee ilinoga sana
Mwamba hana huruma na wala hana hisia alipewaga mateso wakamkata mb@@
Hee jamaa anatembea tuuh ila kichwa cha chini hamna πππsijafika huko bado asee kumbe mambo bado kabisaa
Episode 3 kwangu imemiss some script,imechanganyika na epd5Nimemaliza episode 1 kwenye the day of the jackal dah hii series ni tamu. Jamaa kafanyishwa kazi halafu anaambulia neno fack u badala ya malipo
Chuma ina episodes ngapi?? Wazee m nimepata 5 tuImenibidi nipekue maktaba yangu nimekutana na kitabu chake hapa
πππView attachment 3149754
Airtel mbps 10 vipi speed yake kaka,inaweza kupiga dk ngapi kudownload 2gb?Uwezekano upo ndio mkuu tumia torrent uwe na search engine yake ni pirates bays uwe na network strong kama zile za fiber ukitumia hizi network za haloteli na voda umeisha speed ndogo wiki hizi TZ network ni takataka
Mimi nimekutana na hizo 5Chuma ina episodes ngapi?? Wazee m nimepata 5 tu
Airtel mbps 10 vipi speed yake kaka,inaweza kupiga dk ngapi kudownload 2gb?
Ngoja nikitafute online kaka nikisome hikiImenibidi nipekue maktaba yangu nimekutana na kitabu chake hapa
πππView attachment 3149754
Si haba,soon nitakua mtu wa kutulia home kwa miezi 2,hii itanifaa,ila nahofia ninapoishi ni nje ya mji,now natumia voda kasi internet kifurushi cha elfu 50 kwa mwezi,ni kituko hata netflix kwenye tv akifunguiDakika 28 mkuuView attachment 3150049
Voda supa kasi wezi sana hao Airtel wanapiga kazi hadi nje ya mji mkuuSi haba,soon nitakua mtu wa kutulia home kwa miezi 2,hii itanifaa,ila nahofia ninapoishi ni nje ya mji,now natumia voda kasi internet kifurushi cha elfu 50 kwa mwezi,ni kituko hata netflix kwenye tv akifungui
Net ninayotumia sasa angalia mzigo unavyoshuka,1gb sometimes inaenda dk 1 net ikiwa imetuliaVoda supa kasi wezi sana hao Airtel wanapiga kazi hadi nje ya mji mkuu
Au kama mtaani kwako Kuna zuku fiber ivute wale fiber zao zina kasi sana aisee afu ni elfu 50 mbps 100Net ninayotumia sasa angalia mzigo unavyoshuka,1gb sometimes inaenda dk 1 net ikiwa imetulia