Series (Special thread)

Mkuu
Sure nimeishia ep 7 tena mwaka jana yule jamaa anaenda kwa wahuni fulani mtaani actually niliona kama bra bra nyingi.. ila mwanzoni ukiona unaona picha si ndo hili?
Ungeendelea kuitizama labda ungeielewa zaidi


Mimi Ile series ya GOMORRAH ndio sikuielewa kabisa ep2 nikafutaπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Mdau aliyeshauri tuangalie series ya Shogun ni sawa na kuangalia ile kamari ya visabuni "naanza kuchezesha angalia kwa makini, angalia sura ya mnyama, ukiweka hapa umeliwa na ukiweka hapa umeliwa"

Nimeimaliza naomba mnishauri series kali ya kuangalia iwe action bila kujali ya bunduki au mapanga, akili nyingi, maongezi kidogo.
 
Apa sijakuelewa.
Kwa experience yako shogun umeipenda ama?
 
Nice website ya kudownload movie/series HD maana todaytvseries kwangu inazingua
Ndugu yangu tumia app hii


Na ya kudownload kapo Play store ngoja nikuonyeshe downloader yake inaitwa sprayer afu app link hiyo kwa juu hapo Kila kitu unapata Mimi ndio nimeanza kutumia wiki ya pili sasa hivi Kuna series na movie kibao
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…