Sicario poison
JF-Expert Member
- Jan 1, 2021
- 2,325
- 4,569
Sio kweliNi ya yule mwana mama? Kama ni hiyo huwa naishia njiani
HalotelMkuu mtandao wako upo chini sana unatumia network Gani aisee polee sana kwa tatizo
Duh polee sana mkuu test voda na Airtel zinafungua iyo webHalotel
Hiyo series me mwenyewe sijaona kabisa huo u greatness tunaoambiwa mpaka nishairudia mara ya pili nkifikiri labda me kuna mahala ndo sijaielewa lakini wapii naona ya kawaida kabisaa.Niliangalia yote ila sijaona makeke ambayo watu wanaipigia promo
😁😂😁😁 Dah una Kosa vingi mkuuHiyo series me mwenyewe sijaona kabisa huo u greatness tunaoambiwa mpaka nishairudia mara ya pili nkifikiri labda me kuna mahala ndo sijaielewa lakini wapii naona ya kawaida kabisaa.
Anza kuitazama mkuuWakuu nimeshacheki series nyingi ambazo zinasifika apa duniani lakini sijacheki Game of throne !
Vp nikijilipua kuicheki hii series nitapata burudani stahiki??
😂😂 Haya mambo bana, unaangalia halafu huoni maajabu ila ukija humu ukute kina vicenzo jr na Mr Q wanaipa promo, utoke hapo uende kusoma reviews IMDb, Metacritic, n.k, daah unaeza unaweza jiuliza labda me ndo nna ugonjwa wa akili 😂😂😂😁😂😁😁 Dah una Kosa vingi mkuu
Kule kaka Kuna harakati za wahuni wa mexico evil kama Salamanca gus fring best villain of all time Kuna kina don eladio series kalii sana hiyo 😎🔥🔥😂😂 Haya mambo bana, unaangalia halafu huoni maajabu ila ukija humu ukute kina vicenzo jr na Mr Q wanaipa promo, utoke hapo uende kusoma reviews IMDb, Metacritic, n.k, daah unaeza unaweza jiuliza labda me ndo nna ugonjwa wa akili 😂😂😂
Huo mzigo ni balaa...ila kama hujasoma vitabu vyake, season 1 inaeza kuwa boring kiasi fulani.Wakuu nimeshacheki series nyingi ambazo zinasifika apa duniani lakini sijacheki Game of throne !
Vp nikijilipua kuicheki hii series nitapata burudani stahiki??
Yeah, nlimuelewa sana Gus fring, Tuco salamanca na Saul Goodman.Kule kaka Kuna harakati za wahuni wa mexico evil kama Salamanca gus fring best villain of all time Kuna kina don eladio series kalii sana hiyo 😎🔥🔥
Na wale vijana mapacha wa mexico wana balaa sanaYeah, nlimuelewa sana Gus fring, Tuco salamanca na Saul Goodman.
Utapata burudani stahili ina seasons 8 kama sikoseiWakuu nimeshacheki series nyingi ambazo zinasifika apa duniani lakini sijacheki Game of throne !
Vp nikijilipua kuicheki hii series nitapata burudani stahiki??
Mbona nilisikia iko banned haiendelei halafu mwezi wa tano nikaona kama kuna season 3View attachment 3090035
Zimebaki siku 14 tupate msimu wa 3 wanakujaaa pia unaweza kufatilia link hii kwa chini Cc rip faza_nelly
Countdown To FROM | Season 4 Episode 1 Release Date
Counting down the days, hours, minutes and seconds until FROM | Season 4 Episode 1 Release Dateyourcountdown.to
Hii nitaishusha ngoja nianze kuandaa brain vizuri
Sijaona miujiza ni stori tu nimeangalia episode ya kwanza nikaachaView attachment 3089689
Itafute mtu wangu Leo nimeirudia Tena hii