Hiki ni chuma mzee, na kwa namna ilivyoisha naiona season 4View attachment 3090502
Ipo season 3 itafute mtu wangu 😎
Naunga mkono hoja mkuuHiki ni chuma mzee, na kwa namna ilivyoisha naiona season 4
Nimeshindwa kupakua broEl Chapo Season 1-3 Complete 720p NF WEBRip x264 - TodayTvSeries
Download El Chapo (Complete) 480p, 720p & 1080p WEB-DL- TodayTvSeries A look at the life of notorious drug kingpin, El Chapo, from his early days in the 1980s working for the Guadalajara Cartel, to his rise to power oftodaytvseries.one
Mkuu vp the wire kwa ulipofikia umeionaje.Mafia
Mkuu umekwama wapi nipe screen shot nikuelekeze mkuuNimeshindwa kupakua bro
Hiyo series kalii sana inatakiwa ucheki kabla haujavutaMkuu vp the wire kwa ulipofikia umeionaje.
Aisee inanipa uvivu balaa mpaka saiv nme stuck kwenye episode ya 5 season 1 baada ya kuianza miezi 3 iliyopita 😂Hiyo series kalii sana inatakiwa ucheki kabla haujavuta
Mkuu umekwama wapi nipe screen shot nikuelekeze mkuu
Iko vizuri sana ila wakati na download naona kuna segment zilikuwa skipped hivyo kuna baadhi ya scenes kama sekunde kadhaa zilikuwa zinaruka.Mkuu vp the wire kwa ulipofikia umeionaje.
Hivi breaking bad ilikushinda?Iko vizuri sana ila wakati na download naona kuna segment zilikuwa skipped hivyo kuna baadhi ya scenes kama sekunde kadhaa zilikuwa zinaruka.
Kwa hiyo nikaamua kui download upya.
Bahati mbaya wakati imefikia 53% Airtel wakanipunguzia speed ya internet.
Nikaamua nitulie kwanza niiweke pending mpaka pale network itakapotulia nilikuwa nipo season 2 episode ya 7.
Niliangalia yote ila sijaona makeke ambayo watu wanaipigia promoHivi breaking bad ilikushinda?
Yenye ladha kama hiyo breaking ni ipi/zipi niruke nayo/nazoNiliangalia yote ila sijaona makeke ambayo watu wanaipigia promo
Better Call Saul uliicheki?Yenye ladha kama hiyo breaking ni ipi/zipi niruke nayo/nazo
Ni ya yule mwana mama? Kama ni hiyo huwa naishia njianiBetter Call Saul uliicheki?
Mi sijawahi kuicheki, watu waliniambia inafanana na Breaking Bad ndio maana nikaipotezea.Ni ya yule mwana mama? Kama ni hiyo huwa naishia njiani
Mkuu mtandao wako upo chini sana unatumia network Gani aisee polee sana kwa tatizo
Hizi series kalii sana 🔥 🔥 ndio zimefanya hadi nikawa mtoro na kutega kazini siku ya ijumaaMi sijawahi kuicheki, watu waliniambia inafanana na Breaking Bad ndio maana nikaipotezea.
Ila kama uliweza kuipenda Breaking Bad basi kwa experience niliyoipata kwa wadau wa Breaking Bad wote walionekana kuikubali hiyo Better call Saul.
Ila kama unapenda Series za Ki Gangster zinazohusu drugs naweza kukushauri ucheki
1. Narcos
View attachment 3092003
2. The Wire
View attachment 3092004
3. Power
View attachment 30920074. Goodfather Of Harlem
View attachment 3092015