Series (Special thread)

Project Silence (2023)

Baada ya hali ya hewa kuwa mbaya, ajali ya magari kugongana inatokea ambayo inapelekea milipuko kadhaa katika moja ya daraja kubwa.

Kinachotokea njia zinajifunga, hamna kwenda mbele or nyuma huku daraja likionesha dalili ya kukatika pia.

Meanwhile katika hiyo ajali kulikua na mbwa wa experiment walikua wanasafirishwa na jeshi, wanafanikiwa kutoroka.

Hao mbwa sasa ndio balaa zaidi maana wakaanza kukinukisha 🔥

NB: Hiyo sura mbele hapo anaitwa Lee Sun-kyun ambae alifariki mwaka jana kwa suicide. Mnaotazama mizigo ya kikorea hiyo sura sio ngeni bila shaka.

Credit by fahamu movie
 
Wahuni wanapewa tenda ya kumuibia mwanasiasa mmoja ambae ni mtu wa rushwa sana. Siku ya tukio mchongo unaenda ndivyo sivyo, kivipi wanatoboa... Maana wametekenya kwa mwanasiasa tena ambae kwa chini nae muhuni tu then kuna polisi.

Credit fahamu movie Cc Mr Q
 
Train to busan hakika ile muvi naivulia kofia inakuvita kihisia kwa asilimia kafibia zote. Kama huna moyo mgumu, lazima udondoshe chozi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…