Series (Special thread)

Hivi hiyo red eyes ni ya kikorea au kizungu? na imetoka mwaka gani? Maana nimesearch imekuja ya kikorea na ni ya mwaka 2021
Acha maneno mengi chukua mzigo huu nakupa high Quality 1080p 😁😁 kila episode moja ina angalau 1GB
Gosanlink iliyo andikwa resume cloud

Utavuta episodes zote kwenye hilo faili

Ukitaka iliyopungua quality file zima lina 2GB USEME
 
Asante mkuu kwa kunioneshea ila mkuu mimi sio muumini wa magb kama wewe hilo nakuachia wewe mimi napenda episode moja isizidi mb 100
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…