Series (Special thread)

Vincenzo Jr hii ni muvi gani? Nikumbushe jina lake nataka kuirudia tena kuna lijamaa linaua kimaskhara kama ile muvi jamaa wanaenda kupora bank halafu wanakutana na lijamaa linaua na kung'oa macho shughuli inakuwa pevu kwelikweli 😁😁😁
 
Website anayotumia kudownload

Ya pili hii hapa


Ya tatu hii hapa

 
Asante mkuu
 
KURT WIMMER
ni mwandishi au mtunzi wa filamu mbalimbali. Ana miaka 60

Moja ya film iliyo sababisha nimfuatilie kwa ukaribu ni muvi iitwayo SALT. Ni mara ya tatu nairudia na kufikia hitimisho kwamba miaka ya nyuma watu walituliza akili ktk swala zima la utunzi wa film.


Vigongo vingine alivyo husika navyo ni pamoja na the bee keeper na nyingine kama zinavyo onekana oichani hapa chini.

Kama hujawahi kuiangalia SALT naomba ufanye hivyo(hapa Scars) hatutaelewana

Twende kazi
 
Cover tu inatosha kuniweka mbali
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…