Mwananchi B
JF-Expert Member
- May 23, 2013
- 2,050
- 4,602
Demon Slayer : The Hashira Training imetoka?Owaa nina Japan anime kaka
Solo Leveling
Demon slayer
Makonouchi ππππ weekend itakuwa fupi sanaa
Bado Hawajaiachia official kwa sisi wengine ila inaoneshwa kwenye cinemax kwa sasa tangu mwezi wa piliDemon Slayer : The Hashira Training imetoka?
Kaka weekend Isha Anza Leoππ, kesho muunganoπ€£Owaa nina Japan anime kaka
Solo Leveling
Demon slayer
Makonouchi ππππ weekend itakuwa fupi sanaa
Zenitsu AgatsumaBado Hawajaiachia official kwa sisi wengine ila inaoneshwa kwenye cinemax kwa sasa tangu mwezi wa pili
Nimezikumbuka harakati za mwanangu Tanjiro na akina zenitsu nipo nailudia hapa
Hizo nyingine mbili hapo juu umezichek??
Mzee wa thunder breathing first form..Zenitsu Agatsuma
Ha ha ha
Bwana mdogo anapigana kakamasi kale kakiwa kanabembea puani.
Hizo zijazicheki, vipi ni kali?
Weekend kaka imeanzaKaka weekend Isha Anza Leoππ, kesho muunganoπ€£
Kaka Nime enda home Mara 1, Kuna ka party kidogoππWeekend kaka imeanza
Kunywa usilewe kakaπKaka Nime enda home Mara 1, Kuna ka party kidogoππ
Kaka sinywagi Wala kuvuta bhangi au sigaraππ€£Kunywa usilewe kakaπ
Kwa hiyo wewe unakunywa maji na kuvuta Oxygen tuuπKaka sinywagi Wala kuvuta bhangi au sigaraππ€£
Ehh kakaπKwa hiyo wewe unakunywa maji na kuvuta Oxygen tuuπ
Dogo hataki Mchezo na Nezuko.Mzee wa thunder breathing first form..
Ninapoona watakuja kudate na Nezuko
Hizo pia Ni kali sana
Zitafute utanipa feedback
Hongera kaka nikiwa mkubwa nataka niwe kama weweEhh kakaπ
Mkwe huu uchawi Sasaππ€£Hongera kaka nikiwa mkubwa nataka niwe kama wewe
Walipoishia wamewateka wengi nchi walizoonesha Hashira Training wamepiga sana hela...Dogo hataki Mchezo na Nezuko.
Ila mfano akija Ku master Forms zote atakua very deadly. Anaweza kuwa ndio the strongest Hashira kwenye generation yao.
Ngoja nizicheki na hizi taleta feedback
Ujugu unalalamika huu ni uchawiπMkwe huu uchawi Sasaππ€£
We pimbi mwenye ndevu ka steel waya, hebu tuliza fuvu lakoπUjugu unalalamika huu ni uchawiπ
Sasa ndevu zangu zimekukosea nini kakaπππWe pimbi mwenye ndevu ka steel waya, hebu tuliza fuvu lakoπ
Kwanini uni ite ujuguπ€£πSasa ndevu zangu zimekukosea nini kakaπππ
πππSasa si ndugu yako mnafanana manenoKwanini uni ite ujuguπ€£π