Baharia mweuc
JF-Expert Member
- Sep 13, 2019
- 654
- 770
Hapana labda kama nyie mmeamua kubadilisha kipindi hiki maana tangu miaka iyo hii lilikuwa thread ya series tu na thread ya movies ipo humuSio group ni thread Mkuu hapa Kila entertainment utapata movie, series and more
Kwasabau haikuwa ivo mwanzo na thread ya movies ipo humu jamii forumWewe unataka vitenganishwe ili iweje? Hujataka kuelewa tu
Ndio nimeshangaa hapa na wadau wa kweli wa series siwaoni kumbe wanachanganya storyThread ya movie ipo sema tu mmeamua kuchanganya mambo, hii ni thread ya Series na inajieleza hivyo
Mkuu mbona Kila wiki naweka series mpya hapa au haupitiii post za nyumaNdio nimeshangaa hapa na wadau wa kweli wa series siwaoni kumbe wanachanganya story
Wakuu recommendations zenu nimemaliza the reacher leo,nahitaji kuanza series nyingineNamalizana na the reacher 2,jamaa wako vzr dont mess with special investigators
Tafuta zilizowekwa pitia post za nyuma bosiWakuu recommendations zenu nimemaliza the reacher leo,nahitaji kuanza series nyingine
Ngapi ngapi hapo kaka Mimi nipo vichakani huku paje nzanzibar
Asanteeeee naaona hii muvi iyakuwa nakono ndani yake ngoja niishusheCc: Mr Q mzigo wako huu wametoa hd yake Monkey.Man.2024.1080p.AMZN.WEBRip.1400MB.DD5.1.x264-GalaxyRG (download torrent) - TPB
Ndio kakaMkuu upo Zanzibar kweli?
Nzuri sana hii 🔥Asanteeeee naaona hii muvi iyakuwa nakono ndani yake ngoja niishushe
Polee sanaNajuuuta kuiangalia hii series wamenipa arosto halafu wanakuja kusema hawaendelezi tena [emoji24][emoji24][emoji24]View attachment 2971695
Awafim.tvWakuu mbali na Nkiri, Netnaija na O2series naomba mnisaidie site nzuri ya kupakua seriea. Asap