Series (Special thread)

Kwa anayefahanu series ya kizungu inayohusu drama za maisha ya ukewenza anijuze tafadhali na sehemu ya kuipakua.



MAGUFULI4LIFE.
 
Usiisimulie ukaimaliza unakuwa unakata uhondo bado naendelea kuiangalia

Ila ni nzuri
Sema Kila vipande lazima watu wakamuane Yani wapeane utamu ni bonge la season hilooo ni kalii na inamatumizi sana ya akili
 
No iko vizuri ila niliiweka pembeni kwasababu nilitaka kuanza na the americand ambayo ipo complete
Vipi una recommend nami niishushe the american? Ina mkong'oto ndani yake au ni ujasusi yu wa data collection, analysis and reporting?
 
Vipi una recommend nami niishushe the american? Ina mkong'oto ndani yake au ni ujasusi yu wa data collection, analysis and reporting?
Ni Heist ina mabinduki kwa wingi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…