Series (Special thread)

Unaweza kunipa link kudownload Season 1 ya Series ya zatima?
 
Juzi nilikuwa nakagua series zangu nilikuwa nakuta kuna 720 nikawa nazifuta afu na download upya yenye 1080

Saizi nimeacha kupakua movies au series zenye 720, ni mwendo wa 1080 tena nikiipata bluray ndio nafurahi zaidi.
Mkuu unatumia site gani kudownload series?
 
Mkuu unatumia site gani kudownload series?
Sites nyingi mfano

1. Fmovies IDM
2.Flixer IDM
3. Seez IDM
4. Yts IDM/uTorrent
5. Eztv IDM/uTorrent
6. Piratebay IDM/uTorrent
7. 123Movies IDM

Ukitaka ku download kupitia Simu basi uwe na application hii hapa 1DM

Ukiwa na application hiyo utaqeza kupakuwa video yeyote kutoka kwenye site yeyote (isipokiwa video za YouTube hai detect)

Lakini pia kwa application hiyo utaweza kupakua chochote kwenye uTorrent kwa mfumo wa magnetic.

Kama ni kwa mtumiaji wa PC basi atatakiwa kuwa na IDM na uTorrent.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…