Director alikosea episode ya mwanzo kutuaminisha audience kuwa Brody ndio starlingHomeland walisema brody baada ya kufa itakuwa tamu lakini wapi hamna kitu
Director alikosea episode ya mwanzo kutuaminisha audience kuwa Brody ndio starling
Mwisho wa siku wakatuwekea Gigi Money muda wote ye anagawa utamu tu kwa yeyote atayemsogelea hadi watoto.
Maelezo kidogo chief
NdioUnaangalia movie za marvel
Hio ni animated series story wanakuwa wanaimagine vp kama jamb flani lingekuwa hivi mfano "what if agent carter become first avenger", au "what if tchala become starlord", "what if ultron won". ni kali sana kama ni mpenzi wa movie za ki superheroNdio
Mtu anakuwa eliminated halafu anapepesa macho, anachagua style ya kulala/kuangka. Hawa netflix wameikosea adabu squid ile ya kwanzaNi rasmi sasa Squid Game The Challenge imenishinda
Katikati ya maigizo wao wanaigiza
Afu lilivyokosa haya eti linatabasamuMtu anakuwa eliminated halafu anapepesa macho, anachagua style ya kulala/kuangka. Hawa netflix wameikosea adabu squid ile ya kwanza
Mtu anakuwa eliminated halafu anapepesa macho, anachagua style ya kulala/kuangka. Hawa netflix wameikosea adabu squid ile ya kwanza
Wanashindwa kujua kuwa katika movie wahusika wanapo pata tabu ndo utamu wa movie,sasa watu wanacheka cheka tu ,huo ujinga wapeleke huko hukoreview zenu tu zimenifanya hata nisidownload
Itakua kama ule upuuzi wa Money Heist Korea
Hili kazii kalii sana dogo aliwapelekea sana motoMjukuu wake na SISU huyu hapa anaitwa becky kwenye muvi inaitwa
the wrath of beckyView attachment 2825541
Sana demu mzuri sana yuleyule demu amegawa utamu sio pow yaani ukipiga hesabu character wakiomla mule wanaweza kufika 10 (ila ndo kazi ya ujasusi wanawake wanafundishwa hii honey trap ili tuu kupata taarifa wanatumia miili kama siraha)
Vipo kaka uhuni upo muleHivi Charles gang of london haina mambo ya kipuuzi aka mizagamuona na ushoga,nataka niicheki sebureni
Mwamba huyuKitambo sanaView attachment 2825730