Series (Special thread)

Last Week

Series
Bargain
Extracullicular
Loki
Gen V

Singles
Infinite
Killer
Openheimer
Saw X



This week
Series
The continental
Criminal code
The song of bandits
New bandit
Sisyphus: The Myth

Single
Creator
The Marvels

Hapa nitakua nimemaliza wiki vizuuuri
 
Hiyo bargain ikoje
Ni korean dubbed kwa english

Ni stori ya crime syndicate ambayo inauza viungo vya binadamu na kwa kawaida ina kundi la mademu wanaojifanya wanauza mbususu online.

Ukimtaka demu anakuita chombo alafu jamaa wanakuuuza viungo.

Sasa katika mnada wa viungo , kukatokea tetemeko likabomoa bomoa jengo.

Sasa katika kupambana kusurvive ndani ya jengo , demu ambae ndio mpiga mnada amwa viungo akapona na mtu ambae alikua apigwe mnada alafu akapona na mnunuzi mmoja.


Ni nzuri tu
 
Nimeikubali ni movie au ni series?
 
Shukrani.. nimeidownload episode moja tu ila naona imenishinda ya zamani mno.
The americans nayo ni kali maana niliangalia episode moja tu pia nayo imekaa kizamani,mbela inachanganya niendeleze zote?

Ila nakushukuru kwa agent hamilton hakika bando langu halikupotea.
Napenda mno series za kijasusi
 
natafuta muvi Inaitwa BELIEVER 2. ambayo ni dubbed kama ipo weka link hapa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…