Elon Maskini
Member
- Jan 10, 2023
- 88
- 180
Tupiamo tulink twake mkuuPia jamaa kama anapenda direct downloads kuna MOVIESMOD.ORG
MOVIESMOD.ORG
hawa jamaa wanaoffer quality tofauti na series wanaoffer kudownload kaa batch (full seasoon)
Server zao pia ni nzuri sana kwa speed
Pia movies na series zao almost zote zina subtitles na pia nyingi zina dual audio kwa zile ambazo hazitoki kwa kizungu
Chini hapo ni mifano ya batch download nilizofanya recentlyView attachment 2815744
Hii itanifaaPia jamaa kama anapenda direct downloads kuna MOVIESMOD.ORG
MOVIESMOD.ORG
hawa jamaa wanaoffer quality tofauti na series wanaoffer kudownload kaa batch (full seasoon)
Server zao pia ni nzuri sana kwa speed
Pia movies na series zao almost zote zina subtitles na pia nyingi zina dual audio kwa zile ambazo hazitoki kwa kizungu
Chini hapo ni mifano ya batch download nilizofanya recentlyView attachment 2815744
Moja kati ya series kali ya kijasusi tuliza akili tuu uone jinsi FSB shirika la kijasusi la ufaransa wanavyopiga mambo yaoSaizi nahamia hapa
View attachment 2815463
Nimeangalia episode 1 nimeiona imepoa nikaiweka pending kulingana na mood niliyokuwa nayo nilikuwa nataka scenes za vuruguMoja kati ya series kali ya kijasusi tuliza akili tuu uone jinsi FSB shirika la kijasusi la ufaransa wanavyopiga mambo yao
Hiyo haina mitutu wala vurugu za kurushiana mabomu ni akili tu ndo inatumika humoNimeangalia episode 1 nimeiona imepoa nikaiweka pending kulingana na mood niliyokuwa nayo nilikuwa nataka scenes za vurugu
Ikabidi nianze kuicheki "The last of Us" halafu hiyo isubiri.
Ila kwa ulivyo kazia kesho naimalizia
Navyomuelewa mwanangu Scars sizani kama ataipenda maana homeland aliikimbiaga 🤣🤣🤣🤣🤣Hiyo haina mitutu wala vurugu za kurushiana mabomu ni akili tu ndo inatumika humo
Kabisa nzuri sana jamaa walituliza sana akili kipindi wanaaandaa hii tv showHiyo haina mitutu wala vurugu za kurushiana mabomu ni akili tu ndo inatumika humo
Kama homeland aliishindwa hii haiwezi
Kabisa kakaKama homeland aliishindwa hii haiwezi
Sasa mtaalamu eeeh nimeingia kwenye hiyo site nikajaribu kudownload lkn imegoma au kwenye simu haifai mpaka nitumie PC?Ingia google andika hivi MOVIESMOD.ORG
Vyovyote una download ila kwa pc inakua poa zaidi kama ukikwama kabisa tafuta PC alafu install any desk nikusaidie remotelySasa mtaalamu eeeh nimeingia kwenye hiyo site nikajaribu kudownload lkn imegoma au kwenye simu haifai mpaka nitumie PC?
Tumia pc kiongozi itakuwa njia nzuri kwa simu tumia today tv seriesSasa mtaalamu eeeh nimeingia kwenye hiyo site nikajaribu kudownload lkn imegoma au kwenye simu haifai mpaka nitumie PC?
Expendables 4 ni pumba.View attachment 2816516
Itafute na hii
Mwezi wa pili mwakaniFROM WAKUU INATOKA LINI?
Unazingua kaka hii sio expendable 4🤣🤣😁Expendables 4 ni pumba.