Dubbed nazisaka sana wewe unatumia mbinu gani kuzipata. Kuna series kali sana ambazo sio za waa English huwa nashindwa kuziangalia kwa sababu sipendi kupambana na subtlitesKingine cha ziada ni "dubbed"
Nakuwa na option ya kuweka sauti ya lugha asili au iliyokuwa transformed kwenye kiingereza
Ni torrent tu tofauti na hapo sijuiDubbed nazisaka sana wewe unatumia mbinu gani kuzipata. Kuna series kali sana ambazo sio za waa English huwa nashindwa kuziangalia kwa sababu sipendi kupambana na subtlites
Imerudi kivingineKuna mbadala wa NetNaija mnae tumia mnipe link wazee?
TelegramImerudi kivingine
Ilishakamilika?Last kingdom...... series noma sana
NdioIlishakamilika?
Mbovu sana hiyo movie low qualityTelegram
Shukrani kaka, jumapili naenda kuishushaNdio
Unamaanisha unakuta dubbed tayari wewe kazi yako ni ku switch tu kwa kutumia player yako?Ni torrent tu tofauti na hapo sijui
Ok naomba dubbed ya who killed sara nitashukuruNi torrent tu tofauti na hapo sijui
Yeah ndio nacho maanisha MzeeUnamaanisha unakuta dubbed tayari wewe kazi yako ni ku switch tu kwa kutumia player yako?
Trackers zake zisha expire hauwezi ku seedOk naomba dubbed ya who killed sara nitashukuru
Watu hamuizungumzii kabisa hii
View attachment 2809029
Watu hamuizungumzii kabisa hii
View attachment 2809029
Humo ni spying za kutosha na bunduki za hapa na pale.Mkono umo wa kutosha nianze nayo bila kuchelewa?
Naomba link ya season 2.Humo ni spying za kutosha na bunduki za hapa na pale.
Ngumi hazipo humo ila ni nzuri hauwezi kuifananisha na Homeland
Season 2 ya series gani?Naomba link ya season 2.
Hii ndo naomba season 2 yakeHumo ni spying za kutosha na bunduki za hapa na pale.
Ngumi hazipo humo ila ni nzuri hauwezi kuifananisha na Homeland