Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 32,248
- 79,831
Sema kale kabinti kana nyege sana hadi wazazi wake walikafukuza kwao akiwashwa achelewi kukuvulia na kukupa utamu bwana mdogo sheriff alikula sana mule kilikuwa ndo kipoozeo baada ya kubaniwa na anna ambaye alibadili jina lakeKale kabinti kalianza kujilainisha kitambo, alimpiga hadi busu la shavu... jamaa kauzu hata kucheka hacheki
Kaitendea haki sana, ana pozi kanizidi hata mieNi kweli kabisa alafu kipindi hicho ndo alikua anajitafuta kukataa ni ngumu sana ukiangalia piah wewe sio mtu wa taifa Lao, na character ya job ilitakiwa ife mapema kabisa ila jamaa akatokea kuwa kipenzi cha mashabiki, ikabidi story yake iendelee.
Kuna wale vilain wapo season 3 hivi wanajifanya wanasali kanisani kumbe ni madon majambaziKaitendea haki sana, ana pozi kanizidi hata mie
Jamaa ana hack hadi fbi walikomaNi kweli kabisa alafu kipindi hicho ndo alikua anajitafuta kukataa ni ngumu sana ukiangalia piah wewe sio mtu wa taifa Lao, na character ya job ilitakiwa ife mapema kabisa ila jamaa akatokea kuwa kipenzi cha mashabiki, ikabidi story yake iendelee.
Vipi mkono humu umo angalau wa kulingana na who is eron?View attachment 2782794
Ukachero na ujasusi hii itakufaa
Kaka mkono upoVipi mkono humu umo angalau wa kulingana na who is eron?
Usiwaze kakaSquid Game inakaribia kutoka wazee mje na chimbo lenye dual audio
Natanguliza shukrani
Dondosha link niende nayo sambambaKaka mkono upo
ninavyoelewa sio squid game season 2 ni reality show watu watakuwa wanashindania pesa kwa kupewa pewa challenge mbalimbali kama kweny squid game lakn sio za hatarSquid Game inakaribia kutoka wazee mje na chimbo lenye dual audio
Natanguliza shukrani
Kwa hiyo una maanisha hakutakua na Squid Game season 2?ninavyoelewa sio squid game season 2 ni reality show watu watakuwa wanashindania pesa kwa kupewa pewa challenge mbalimbali kama kweny squid game lakn sio za hatar
Dondosha link niende nayo sambamba
Hapo mbona wameharibu? Inataka kusa kama dare devil?ninavyoelewa sio squid game season 2 ni reality show watu watakuwa wanashindania pesa kwa kupewa pewa challenge mbalimbali kama kweny squid game lakn sio za hatar
Kuwa karibu na shemeji! Sema jamaa bonge la jasiri na asiyeogopa kitu!katika pita pita zangu nikaiona Banshee
Squid game season 2 ipo kama kawaida, ila hii inayoendelea sasahivi sio series yenyewe ni challenge tuu ambayo imeletwa na Netflix wenyewKwa hiyo una maanisha hakutakua na Squid Game season 2?
Season 2 bado sana , trailer yake inaweza kutoka mwakani hukoSquid Game inakaribia kutoka wazee mje na chimbo lenye dual audio
Natanguliza shukrani
Oooh! Hapo sawaSquid game season 2 ipo kama kawaida, ila hii inayoendelea sasahivi sio series yenyewe ni challenge tuu ambayo imeletwa na Netflix wenyew
Mwenye link au access ya ku-download Lost tafadhali naomba.