Drone Camera
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,007
- 13,800
- Thread starter
- #221
Hahaa
Hahaa
Una habar hiki kiswahili chetu ni lahaja ya unguja... Hao wazaramo wanaongea lahaja gan ya kiswahili?Wandegereko,Wazaramo,etc ni dialects
Kuna Waswahili hasa,lugha yao kwa 800yrs ni Kiswahili hiki unachozungumza!
Kiswahili ni lugha ya Tanzania kutokana na political decision ya Nyerere,walikua wachukue Kisukuma,aka-veto!
Unadhani Kiswahili ni alien language dropping from the sky to Tanzania!?
No,ni lugha mojawapo wa lugha zaidi ya 250 na inatokana na kabila dogo tu pwani!
Get that into your head!
Nimezaliwa nimekuta kwetu wanaongea kiswahili... Hivyo it's my first languageSiko hapa kuzungumzia lahaja za lugha ya Kiswahili sio lugha yangu,ni lugha ya wengine
Nimejifunza kama wewe na yule,siwezi kaa hapa na claim lugha ya watu as my own!
Lugha yangu mimi inayonihusu inakufa,na zingine 250 zinakufa sababu ya uzembe wetu wenyewe wakuto ku-preserve hizi lugha kwa kuamua kung’ang’ania moja na kuua zingine kwa makusudi mazima
Mwisho wa siku kitabaki Kiswahili pekee,then Kiswahili nacho kitafia mbali na Kiingereza kutawala!
Endeleeni kuua lugha zote
Ndo maana nikakwambia ni lugha yangu ya kwanza... Na nadhani ndo naijua vizuri zaidi... Hata kama mimi si mswahili,but it's my first language.Not true
Mtoto wangu kazaliwa tunamuongelesha Kiingereza,hivyo yeye ni Muingereza?
Mswahili sio lugha pekee,ana utamaduni wake unique wewe unao na unauishi?Si kweli.
Ni jamii inayo exist zaidi ya maelfu ya miaka,wana DNA zinazo relate,wewe unazo?Huna
Wabara wame adopt Kiswahili miaka 50 iliyopita ambapo ni juzi tu!
Aliyesema mimi mswahili nan? Unajua maana ya mswahili? Mswahili ni mtu wa pwani... Mimi najua kiswahili...kwan kila anayejua kiingereza ni mwingereza?Unajiangalia wewe wenyewe sio?
Hii dunia ina ubinafsi sana!
Kabila lako wazazi wako walilotoka lugha ni kaputi na in 5 yrs to come inafutika!
Then utabakia na pride ya kimama sana eti mimi “Mswahili”!
Aiseee
Leta mstari niliosema mimi ni mswahiliMzee unakana maneno yako mwenyewe?
Maajabu haya!
Kick your sack broOh yeah?
This is monkey see monkey do kinda business!
Asante kwa kutumia free Mode, awamu hi lazima beberu anyonywe mpaka akome!
Biashara ya aina gani haliwezi kutumika?Hilo neno Hakuna Matata linamilikiwa na kampuni ya kutengeneza film Marekani, huwezi kulitumia kwenye biashara lina trade mark..
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe walifanikiwa kumiliki ?
Usitumie nguvu kubwa sana kumwelewesha.....Sio lazima aniambie,huoni hapo kaweka emoji ya Simba?UNAMJUA Mufasa WA KWENYE king Lion?Yaani bila shaka mkabisa najua kautoa humo.