Sergio Ramos katumia Kiswahili katika akaunti yake

Sijalazimisha mtu aamini. Ila mimi najua hakuna matata kaitoa kwenye series au film za Lion the king. Pale Tim na Pumbaa wanavyoimba Hakuna matata.
Pale Tim na Pumbaa aah nikisikia hayo majina nafurahi kwa kweli kunavipande navutiwa navyosana ukiplus na upuuzi wa hao watu 2 ndio nafurahi zaidi
 
Ni kweli dada yangu yawezekana unajua mengi kunizidi sana lakini kitendo cha kung'ang'ana kuwa huo msemo Ramos kautoa huko kwenye sinema na hutaki kubadili na unalazimisha wengine waamini hivyo lazima hadhara ya jf ikuone "unajimwambafy" yaani watu wenye uelewa zaidi wamejua hii ni tabia yako kutaka kujifanya mjuaji wa kila kitu na yamkini wamekujua zaidi hata kwa uzi mbalimbali,ili kuleta maelewano yapaswa wote tuzungumze kiusawa hata kama unayezungumza naye ni zuzu kiasi gani tafuta namna ya kwenda naye sawa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kula tano bro.
Ubaya huwa haelewi huyu mama
 
Unafeli sana mzee!

Mother tongue yangu,ambayo ni lugha yangu ya kwanza ni Kichagga walichozungumza ancestors wangu kwa zaidi ya miaka 800.

Nikaja nikajua Kiswahili kwa kusoma kuanzia darasani kwa miaka saba then nikaja kujifunza Kiingereza kuanzia darasa la 8 kwenda mbele.

Mother tongue yangu sio Kiswahili,ni lugha yangu ya pili,na ya tatu ni Kiingereza!

Kiswahili kua Lingua Franca ya pahali sio kweli eti ndio "lugha ya kwanza" ya watu wa eneo husika.

Na hapa nielewe vizuri,"Lugha ya Kwanza=Mother Tongue" huenda hata hujui definition yake,ina maana ni lugha ya kwanza mtoto anayojifunza au kuongea baada ya kuzaliwa tu anayo adopt kutoka kwa wazazi wake au jamii yake ya karibu hapo hapo.
sawa asante
 
Lipo,nenda Kimanzichana kama unatoka Mbagala kwenda Utete unawaona!

Ni Waswahili kwa kabila na varieties zake ndio Wazaramo,Wandegereko,Wagunya,etc

Hujui lolotr halafu unaongelea Kiswahili kama lugha na Waswahili kama jamii na kabila!

Wewe unadhani kusoma Kiswahili darasani na kuona Tanzania ime-dopt Kiswahili kama Lingua Franca ndio unadhani Kiswahili ni mali yenu?

Kiswahili kina chanzo na kina kabila lake origional!

Wadandia lugha za watu mnaacha Kisukuma chenu kinakufa!

In 10-years lugha zenu zote zaidi ya 250 zinakufa halafu mtakenua mimeno humu kama majuha!

Silly know-nothings!
Hivi hao wazaramo,wandegereko n.k lugha yao ya makabila ndo hichi kiswahili sanifu tunachozungumza?
 
Hawashangai kwakuwa walitutwala wakatujengea mazingira ya kudharau vya kwetu kama unavyodharau wewe.
Tunashangaa ee kwakuwa nimoja ya hatua ya wao kuanza kuvisamini vyakwetu walivyotukalilisha kuwa ni ushamba kama unavyoamini wewe.
African are Shits... Sasa mtu kutumia lugha ya kiswahili ndio unakuja kufungua Uzi ... Sisi kila siku tunaandika na kutamka Kiingereza ila sijawahi kusikia muingereza pale England anashangaa kwa msukuma au mgogo kuzungumza kiswahili ....




Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom