Ilankunda1234
JF-Expert Member
- Dec 28, 2015
- 4,840
- 4,813
Hichi kikosi nabidi uwe umekula na kunywa juisi za kutoshaBalimi na aina hizo ni kwa wasio na hela. Wengi wapo kikosi cha mizinga [emoji16][emoji16][emoji16]
Mwanaume unapaswa kunywa nyagi, bia zote za kina dada.Mi ntakunywa hata kreti na silewi hata, hizo ni kwa wanawake ila nashangaa hadi wanaume wanakunywa shame on you
Cc.balimi,plisner,safari,
Nimekuta wamarangu wapenda sifa wakiziagiza kwa fujo hapa marangu mtoni,naona wameshuka mlima na walami sasa wana vi laki laki mifukoni ndiyo vinawasumbua!! Nimepiga gordons yangu nikawaacha hapo! Najua kesho wataniomba hela ya chai kama kawa!!Hapo ndio napoona maajabu ya hii bia na ndio chanzo cha kupendwa sana....asubuh wala huhangaiki na misupu.....
Nimekuta wamarangu wapenda sifa wakiziagiza kwa fujo hapa marangu mtoni,naona wameshuka mlima na walami sasa wana vi laki laki mifukoni ndiyo vinawasumbua!! Nimepiga gordons yangu nikawaacha hapo! Najua kesho wataniomba hela ya chai kama kawa!!
Nyie ndiyo mlikuwa mnanisumbua kuomba hela ya chai kila asubuhi! Nimeku kumbuka! Na baridi ya marangu hivyo vibia unaweza kunywa vyote,ikifika asubuhi huna hata mia!na mnavopenda masifa nyie wamaranguNimetoka huko juzi tu hapa nilikua naanza kuzinywa kuanzia asubuhi mpaka usiku....nilizigeuza maji ya kunywa
Nimenunua mwenyewe mkuu,nasubiri siku ajitokeze mroho wa pombe nimzimishe.
Mmhh naona uko na malapa..[emoji28][emoji28][emoji28] umetoroka nin?Kengine haka hapaView attachment 1077919
Bhana weee hiyo ni ile unaaga nafika hapo kununua vocha maramoja[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mmhh naona uko na malapa..[emoji28][emoji28][emoji28] umetoroka nin?
Kumbe hata wewe unakatumia 'kupozea' Engine. Mimi huwa naanza na Kvant kubwa ikiisha napiga Serengeti light 3 kisha narud tena Kiumeni
Ndiyo maana halisi ya Light beer.... Wewe unatakiwa uende na safari, castle lager au kubwa lao balimi...Mi ntakunywa hata kreti na silewi hata, hizo ni kwa wanawake ila nashangaa hadi wanaume wanakunywa shame on you
Cc.balimi,plisner,safari,
Hakika castle light imepotezwa.... Halafu konyagi inakimbizwa kweli na K vantHapo Serengeti imewabutua sana TBL
Kitimoto bei chini mwezi mei wote. karibuni magomeni mwembe chai (jirani na kituo cha daladala kuelekea ubungo). Tuna-deliver kwa abiria wa Mwendokasi.Unakula 20 na asbh unakunywa chai na mkate
unanyantaswa na guy complexityMi ntakunywa hata kreti na silewi hata, hizo ni kwa wanawake ila nashangaa hadi wanaume wanakunywa shame on you
Cc.balimi,plisner,safari,
Hakuna mnywaji ambaye husema kwamba huwa analewa.Hakuna.Ila wanaomuona humtambua kwa matendo yake.Bitter truth!Mi ntakunywa hata kreti na silewi hata, hizo ni kwa wanawake ila nashangaa hadi wanaume wanakunywa shame on you
Cc.balimi,plisner,safari,