Serengeti fiesta 2014 special thread

Sikuwahi kumjua huyu T.I na wale sijui anachoimba ila mziki wake unasikilizika tofafauti na wale wa daresalaaaaaaaam....

kumbe tupo wengi, mie nshawahi muona kwa movie ckujua km mwanamziki, nlipoona picha yake kuwa anatumbuiza fiesta nkajua comedy!!
 

Siwezi kuwa na wivu kwa mtu yeyote, kila mtu amezaliwa na destiny yake. Kitendo cha kuanza kuwaza kuwa mtu anaonewa wivu ni udhaifu mkubwa sana.Unajua hela ndefu wewe? Juzi Nimelamba contract ya mil 900 kwenye kampuni yangu nije nimuonee wivu mtu asiyejua kuandika jina lake vizuri?Acha ujinga
 
Hata mimi nimehisi clouds kuna mchezo mchafu wameufanya ili kumdhoofisha Diamond, toka mchana nimeona wanamfanyia promo Ali Kiba.
Mnaisema Diamond ana dharau, amemdharau nani na kivipi?
 
mshenzi kweli t.i, anawarushia mashabiki kitambaa alichojifutia jasho, badala angewarushia ile miwani na kofia
 
hv watu wanashangilia kwa kuelewa anachoongea au!! maana mm nackia -mather fanta tu!!
 
Maskini huyu T.I angejua kama si ni wa from Kayumba na kwetu ni Manzese,mbagala,tandale na kule Tandika asingeimba nyimbo ngumu hivi na Hichi anachoongea hapa hata sikielewi mbona kama anatutukana hivi au mi sajaelewa kujitambulisha gani hivi jamani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…