Serengeti fiesta 2014 special thread

jamani nipo karbu na back stage hapa nasikia diamond analia

hahahahahahahahahaha. mi nadhani itakuwa kawakomoa clouds tu
cause walichomfanyia si kitu kizur kabisa. wamemlimit nyimbo za kuimba
 
Watu wamebanana jamaniii wangekua wanawapanga vizuriii jamaniii looo toka muda ule wamesimama heeeee makubwaa lusungo umeona walivyochoka kwa kusimamaaa
 
Last edited by a moderator:
hahahahahahahahahaha. mi nadhani itakuwa kawakomoa clouds tu
cause walichomfanyia si kitu kizur kabisa. wamemlimit nyimbo za kuimba

mkuu usikute ndomo mwenyew alitaka mpunga mrefu kukaa jukwaani hapo muda mrefu kwa ninavyomjua lazima angetaka mpunga mrefu tu.
 
hahahahahahahahahaha. mi nadhani itakuwa kawakomoa clouds tu
cause walichomfanyia si kitu kizur kabisa. wamemlimit nyimbo za kuimba

Diamond expensive sana siajabu ndio nyimbo alisema
 
Davido anazingua sijui anaimba makitu gani mi hata simuelewi.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
T.i na mvua hii atapanda kweli au ataleta mambo ya michael jackson
 
Dimond karudi kuja kufunika haha..mlidhani yameisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…