Serengeti fiesta 2014 special thread

Serengeti fiesta 2014 special thread

aaaah aaaaah aaaaah aaaah huyu kiba ni nyoko aisee,Uwanja mzima unaimba,leo nakiri kabisa Ally k hakujua kama ana thamani kiasi hichi aisee,Mapenzi yana run this dunia, kanyimwa uwezo tu wa kucheza lakini ni shidaaaaa ila sijapenda demo yake imedhihirisha kwamba ana bifu na Dangote wa Sepetu.

Noma sana Kiba.
Ova
 
msomali pure ila kazaliwa tabora
ndgu zake wanaishi UK baadhi kwa hapa dar magomeni

Kiba bwana .....never understimate your enemy.....atakachofanya na Dai + Wema anaweza kunywa sumu kesho
 
Kiba kamuiga Diamond kupanda na Dancers wa kike ....
 
Ally na chibu wafanye show diamond jubilee,kiingilio kiwe laki ,am sure watu watajaa! Sana watu wengi sana nyuma yao wawatumie kunenepesha akaunti zao
 
Kiba kashangiliwa kinoma ila dangote akija uta amini utakachokiona watu watachanganyikiwa hapo

Maisha bila unafki hayaendi.....Dai atashangiliwa hadi na hao Team kiba
 
Kwa show hii ya kiba bas n dhahiri shair kuwa Domo n mkal zaid,subirn muone shangwe lake jaman,hzo shangwe za kiba n za kukodiiii
 
Mmenitesa kusoma hii thread hatimae nimefika mwisho dah
 
Back
Top Bottom