Serengeti fiesta 2014 special thread

Ally k je ana mashabikiiiii weeeeee
Sasa kiba jaman alie kabisa kuona watu wanamkubali lakini ye anajivutaaa

Ana watu sana huyu Kiba. Sijui kwanini huwa anawatelekeza watu wake hadi miaka mitatu.
Leo lazima aje kulipa madeni yote ya watu wake aliowatelekeza.
Ova
 
Niacheni nimuangalie Kiba wanguuuuuuu
 
Jaman Ally Kiba wanampa shangwe za kutoshaaaaa, ndio anaingiaaaaa weeeeeraaaaaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…