hivi kwa kelele hizi za kina blue aweza kweli kuimba live bila back up!!?? watu waelewa anaimba nn kweli!!! duuuh mie nackia daresalaaaaaaam tu
Amsaidie kolabo TI hhhhhaa,,wataongeza chumvi tu kua Dai kamfunika TI ooo
kuna wasanii wameliwalipa clauds ili wapate nafasi ya kuperform
Mashine ya kuokea mikate....
Yaan amkalishe TI makubwa hii kalii aisee
Wameanza vzr yamoto.yakarudia playback
mkubwa na wanawe nawapenda hawa madogo nahisi kufariki
Play back ina kera sana!