Serena Hoteli matatani, TRA wavamia (ufafanuzi)

Status
Not open for further replies.

RUCCI

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2011
Posts
1,702
Reaction score
1,716
attachment.php

Maafisa wa TRA wamebisha hodi kufanya ukaguzi, inasemekana wanatuhumiwa kukwepa kodi.

===================

KANUSHO

Naomba kukanusha habari zilizotolewa JamiiForums kwamba Serena Hotel imefungwa na TRA kwa kukwepa kodi.

Hotel inafanyiwa ukarabati kuanzia mwezi huu lakini huduma zitaendelea kama kawaida.

attachment.php

Attachments

  • index.jpeg
    index.jpeg
    38.3 KB · Views: 8,964
  • index.jpeg
    index.jpeg
    12.3 KB · Views: 3,724
Dah! Huu usomaji namba si wa kawaida. Ila kama na hawa wanadaiwa mbona ni aibu
 
WAKAGULIWE / WALIPE KIDOGO KIDOGO OTHERWISE HII FUNGAFUNGA INAWEZA SABABISHA MDORORO WA KIUCHUMI.
IMAGE
*******
HOTEL IMEFUNGWA WAFANYAKAZI NA FAMILIA ZAO WAKOJE?
n.b/ walipishwe kidogo kidogo / UZEMBE NI WA AWAMU YA 4.KWA KUTOKUWA MAKINI.
 
Iwe hivyo au vile mwisho wa siku sisi tunataka fedha zetu tu, BAASI!​
 
WAKAGULIWE / WALIPE KIDOGO KIDOGO OTHERWISE HII FUNGAFUNGA INAWEZA SABABISHA MDORORO WA KIUCHUMI.
IMAGE
*******
HOTEL IMEFUNGWA WAFANYAKAZI NA FAMILIA ZAO WAKOJE?
n.b/ walipishwe kidogo kidogo / UZEMBE NI WA AWAMU YA 4.KWA KUTOKUWA MAKINI.

Mdodoro Wa kiuchumi unaosababishwa na ukwepaji kodi ni mkubwa mno kuliko mdodoro Wa uchumi utakaosababishwa na kufunga hoteli hiyo
 
Hotel maarufu ya Serena iliyoko kati kati ya jiji imetiwa kufuli kwa kukwepa kodi ya serikali.
 
Attachments

  • IMG-20151204-WA0009.jpg
    IMG-20151204-WA0009.jpg
    238.4 KB · Views: 1,124
Wameshindwa kulipa Wafanyakazi stahiki zao toka Miaka 15 sasa.Mungu hamtupi mja wake.Amen
 
WAKAGULIWE / WALIPE KIDOGO KIDOGO OTHERWISE HII FUNGAFUNGA INAWEZA SABABISHA MDORORO WA KIUCHUMI.
IMAGE
*******
HOTEL IMEFUNGWA WAFANYAKAZI NA FAMILIA ZAO WAKOJE?
n.b/ walipishwe kidogo kidogo / UZEMBE NI WA AWAMU YA 4.KWA KUTOKUWA MAKINI.

walipe ndo waanze kazi,
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom