mtanganyika mpya
JF-Expert Member
- Feb 6, 2015
- 424
- 302
Kumekucha,,
Hatimaye Magufuli ametia kufuri hapo serena hotel dar es salaam kutokana na malimbikizo ya kodi na ukwepaji kodi.
picha zinakuja
Sio kweli kwamba serena imefungwa na TRA
Bali wanafanya marekebisho tuu ya hotel