Serena Hoteli matatani, TRA wavamia (ufafanuzi)

Serena Hoteli matatani, TRA wavamia (ufafanuzi)

Status
Not open for further replies.
Sipati picha!!!!!!!!!!!!

ina maana TRA miaka yote ya awali kabla ya kuingia madarakani awamu ya tano walikuwa wanakula mishahara mikubwa pasipo kufanya kazi!!!!!!!!!!!!!

Ingelikuwa nina amri ningewafunga jela wote wafanyakazi wa TRA. Endapo kama magereza hayatoshi kuwajaza wote wafanyakazi TRA, ningetumia na Uwanja wa SABASABA DSM pamoja na Uwanja wa Taifa kuwasweka ndani!!!!!!!

Wap mbavu sana hawa!!!!!!!!
 
ndo maana wapiga deal za magumashi kama kina@Faizafoxy kutwa walikuwa wanamtetea mzee wa msoga eti bonge la president,eti tutamkumbuka milele

Wachana na huyo ajuza koko; akili yake haina akili!
 
kwa ni siku 7 zimeisha? au Uvamiszi wa kushtukiza wa hao maofisa? wa TRA??!
 
Nijuavyo mimi SERENA makao makuu wapo Arusha hesabu zote zipo Arusha ilipo ofisi kuu ya finance huko Dar sana sana wapo cashers na account asst.
 
Huyu mleta mada muongo tena sana mm jana nilikua hapo hotel inafanya kazi hiyo walieka tepe panajengwa wacha kuupotosha umma

kanjibai kwenye ubora wako!na bado...tapata tabu sana veve,shauri na dugu zako bote,ambia lipa kodi bhana!
 
1449219644392.jpg

Hakuna wateja kuingia mpaka kodi yetu ilipwe NO FLY ZONE
 
WAKAGULIWE / WALIPE KIDOGO KIDOGO OTHERWISE HII FUNGAFUNGA INAWEZA SABABISHA MDORORO WA KIUCHUMI.
IMAGE
*******
HOTEL IMEFUNGWA WAFANYAKAZI NA FAMILIA ZAO WAKOJE?
n.b/ walipishwe kidogo kidogo / UZEMBE NI WA AWAMU YA 4.KWA KUTOKUWA MAKINI.

Hatujali hilo ifungwe tu, Miaka yote walipokwepa wametusababishia vifo vingapi ambavyo vinge epukika?
Hiyo kodi yao ingenunua madawa kiasi gani? Ingechangia masomo kwa watoto wetu kiasi gani?
Hakuna huruma kwa mkwepa kodi Hata ikibidi zifungwe zote na zifungwe tu
 
Hii kitu nadhani sio kweli kabisa.
Serena Hotel kwa sasa iko kwenye matengenezo makubwa, wamesitisha huduma nyingi ili kupisha marekebisho, huenda ikachukua miezi mitatu kurudisha huduma tena.
 
WAKAGULIWE / WALIPE KIDOGO KIDOGO OTHERWISE HII FUNGAFUNGA INAWEZA SABABISHA MDORORO WA KIUCHUMI.
IMAGE
*******
HOTEL IMEFUNGWA WAFANYAKAZI NA FAMILIA ZAO WAKOJE?
n.b/ walipishwe kidogo kidogo / UZEMBE NI WA AWAMU YA 4.KWA KUTOKUWA MAKINI.

Mzunguko uko pale pale, unahamia tu kwa waliokuwa wakosa harufu ya mzunguko
 
Wapo kwenye matengenezo reception ila hotel ipo wazi acheni kupotosha watu
 
Sipati picha!!!!!!!!!!!!

ina maana TRA miaka yote ya awali kabla ya kuingia madarakani awamu ya tano walikuwa wanakula mishahara mikubwa pasipo kufanya kazi!!!!!!!!!!!!!

Ingelikuwa nina amri ningewafunga jela wote wafanyakazi wa TRA. Endapo kama magereza hayatoshi kuwajaza wote wafanyakazi TRA, ningetumia na Uwanja wa SABASABA DSM pamoja na Uwanja wa Taifa kuwasweka ndani!!!!!!!

Wap mbavu sana hawa!!!!!!!!

Ndugu kufanya hivyo kunaweza kusiwe sahihi sana kwa sababu serikali ya awamu ya nne ilikuwa inazorotesha utendaji kaz wa watu. Kuna askari mmoja alikamata dawa za kulevya walivyotaka kumpa rusha alikataa ishu ilipoenda kwa wakubwa wakamtukana kuwa ni askari mpumbavu kuwa anakamata unga wa mahindi akifikiri ni dawa za kulevya. Jamaa aliapa kutojishulisha tena na ukamataji huo. Lkn pia Kumbuka ishu ya samaki wa magufuli ilivyokwamishwa na serikali huwezi kusema Magufuli alikuwa mzembe wakati hata shria za kimataifa zilikuwa in his favor. Kutokana na mazingira hayo watu wengi wakajiingiza kwenye mtandao na wengine wakaanza ku under perform ndo mana tumefika hapa.
 
Hii mihemko na ushabiki koko kwa utendaji wa serikali mpya ya Awamu ya Tano inapotosha sana. Kila kitu kitahusishwa na hapa kazi tu wakati sio kweli kabisa.
 
na wataokutwa wakilana mzigo bila kibali
cha ndoa (cheti cha ndoa) , wapigwe faini
ya papo kwa hapo.

Imagine wewe ndiyo TRA officer na unakagua guests list unaona jina la Wife na Jirani yako kwenye list wameingia 10.00am na kutoka 12.00pm. Wakati wewe mwenyewe una last 5 minutes tu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom