Troll JF
Platinum Member
- Feb 6, 2015
- 9,331
- 13,783
Ifike kipindi watanzania tuwe tunatumia akili tuu ya Kuzaliwa tuache Udaku na Majungu hivi kwa akili ya kawaida mtu unashindwa kutofautisha kati ya Ribbon Nyekundu na Zile za njano na mnakuja na Umbea oh Serena sijui iko Chini ya Ulinzi oh! wengine eti wamepigwa no fly zone hajui hata maana ya ilo neno
Nijuavyo mimi ribbon nyekundu ndo zinaonesha ishara ya Ujenzi/rehabilitation/maboresho na Ribon za njano ndo huonesha don't cross na mara nyingi huwa katika sehemu ambayo tukio baya limefanyika
Kwanini watanzania mmekua wadaku hivi? ni bora sisi wenye sifa ya wizi na udokozi kuliko nyinyi mnaotaka kuhatarisha amani ya nchi kwa Udaku.
Mimi mbona nipo chumba number 97 nimepumzika sijaona cha TRA wala nini acheni Umbeya. hapa nataka niende kwenye swimming pool.