Serena Hoteli matatani, TRA wavamia (ufafanuzi)

Serena Hoteli matatani, TRA wavamia (ufafanuzi)

Status
Not open for further replies.
Asanteeeeeee Magufuli... ubarikiweeeeeee...👏👏👏👏
 
Inapendeza maana wafanyakazi ndo wamekuwa walipa kodi wakubwa huku wafanyabiashara wakikwepa. Ilikuwa very unfair mfanyakazi anakatwa kodi kubwa halafu asiyelipa kodi anamuuzia bidhaa kwa bei kubwa wakati hata kodi halipi. Hapa kazi tu. Go Mr. President
 
TRA waende na airtel, hiyo kampuni na yenyewe imebadili majina sana ndani ya muda mfupi
 
Hakuna kulemba.kuundiana Tume ndo kumetufikisha hapa.immediate action ndo siri ya maendeleo popote pale duniani.
Tukianza kupeana muda tutaruhusu mianya ya rushwa. Unadaiwa lipa! Full stop.
 
Sheratoni - Muvinipiki - Serena - ..........................

 
ndo maana wapiga deal za magumashi kama kina@Faizafoxy kutwa walikuwa wanamtetea mzee wa msoga eti bonge la president,eti tutamkumbuka milele
 
Huyu mleta mada muongo tena sana mm jana nilikua hapo hotel inafanya kazi hiyo walieka tepe panajengwa wacha kuupotosha umma
 
WAKAGULIWE / WALIPE KIDOGO KIDOGO OTHERWISE HII FUNGAFUNGA INAWEZA SABABISHA MDORORO WA KIUCHUMI.
IMAGE
*******
HOTEL IMEFUNGWA WAFANYAKAZI NA FAMILIA ZAO WAKOJE?
n.b/ walipishwe kidogo kidogo / UZEMBE NI WA AWAMU YA 4.KWA KUTOKUWA MAKINI.

Ni kweli funga funga inaweza kufanya kudorora kwa uchumi wa nchi but kwa hali ambayo Tanzania tulifikia inabid tukubali ku take risks kuliko kuendelea kuwafuga hawa waujumu uchumi wa nchi
 
Eti kuna message nimetumiwa Inasema hivi. ..

They hav started renovations and they started with the front office, reception area
 
Kitu kingine ambacho Mr.President anatakiwa afanye ni kukagua vitenga uchumi vyote ambavyo vilimilikiwa/kumilikiwa na mawaziri/wabunge wa serikali ya awamu ya 4 hapo atagundua maovu mengi sana!!tumuunge mkono Mr.President.
 
Kwa sababu wali-host midahalo na mijadala iliyokuwa mwiba kwa serikali?
 
Ukitaka lipa kodi hutaki ondoka hapendwi MTU hapa kazi tu nchi hii haiedweshwi na wafanyabiashara kama hulipi kodi safari tutaendesha nchi kwa viwanda kama enzi zilee za mwalim
 
Kwa sababu wali-host midahalo na mijadala iliyokuwa mwiba kwa serikali?

Mkuu siasa iwekwe kando oparation inayofanyika ipo kitaifa zaidi na bila shaka ndo hiki tulichokuwa tukikipigania kwe majukwaa ya kisiasa!
#Magufuli Twenzetu#
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom