SENSA: Nini faida yake?

Kwa ambaye hajaenda shule, kamwe hatojua umuhimu wa sensa kwa shughuli za maendeleo... Sidhani kama mtu ataweza kufananisha na mwenge! Hii ni kuikosea nidham akili zenu wote mnaopinga sennsa eti kuwa haina issue.
 
sensa ni zoezi ambalo halina faida kabisa kwa watanzania hususani sensa
hii itakayofanyika. Serikali isiyowajali wanchi wake itafanya nini baada ya
kuwahesabu zaidi ya kuwa ni zoezi au njia ya kutengeneza nafasi ya kufisadi
pesa zetu?

Nitakapokujibu sina kazi utaniajiri?
Nitakapokujibu sina mke utaniozesha?
Nikisema kuna mlemavu utanisaidia?
Watoto utawalea....................?

Ajabu! Kwa serikali hii hii ambayo memba wengi tumekuwa
tukiilalamikia leo tunaiunga mkono katika zoezi la sensa kwa
faida ya nani?

Tuache unafiki hata kama tunawachukia waislamu ukweli unabaki
pale pale kuwa sensa haina faida kabisa kabisa kwa watanzania.
Hakuna huduma yoyote itakayoboreshwa na serikali ya ccm eti kwa
sababu ya kuhesabiwa. Wangekuwa wameanza hapo kabla
tungeamini kuwa ni kweli wana nia nzuri.................

Labda hawa wanaounga mkono kuna manufaa wanayapata.

Serikali ya msumbiji inatoa huduma kwa wazee na kusaidia
mambo mbalimbali ya kijamii. Sensa yake inazingatia kuboresha
huduma hizo.

Sensa yetu imelenga kusaidia jambo gani?

",,"...hapo mzee lazima utakuwa na ufa katika ubongo.... Hili haliitaji kwenda shule, kwa umri wako huu huoni umuhimu wa sensa, ....oh sijajua level ya elimu yako, sorry!
 
tatzo kubwa ndani ya taifa hili kila mtu anajifanya anajua mambo hata ambayo hayajui. Kila mtu anajifanya professional wa kila kitu. Naona watu wanajribu kuelezea sena eti haina umuhimu wakati kila nchi inafanya sensa.
Huwezi andaa project bila kujua kuna watu wangapi eneo husika. Mfano wanaoandika miradi lazima waoneshe kuna population ya watu wangapi na utafaidisha watu wangapi eneo hilo. Iwe ni mradi funded by government au other donors lazma wahitaji statistical data.
Serikali inabidi ijue ina human labour kiasi gani, na wategemezi kiasi gani.
Jamani watanzania tuache kulalamika kwa kila kitu yani kuna vitu vingine vya muhimu yani badala ya kusonga mbele sisi tunarudi zama za mawe watu hawataki hesabiwa. Hao hao ndio wanafanya zikusanywe takwimu ambazo si sahihi halafu baadae walalamike.
Mtu anajisifia kwa mbwembwe zote eti sensa iliyopita hakuhesabiwa na haija muaffect. Si ajabu kuto hesabiwa kwake kumeleta negative effect kwa mtu mwingine kwakuwa anafaidi supply ya huduma ambazo yeye hakuwa included wakati wa sensa.

Na acha uzuzu, ni ukweli kuwa sensa ya Tz haisaidii chochote, si kweli kwamba inatumika ktk supply and demand ya mahitaji ya jamii. Hebu jiulize ikiwa ni kigezo gani kinachotumika kumpatia director au mfano wake v8 ya kumtoa Osterbay hadi post na kumrudisha ilhali mama mjamzito wa namtumbo akiwekewa bajaj kumpeleka km 100+?
 
Kwa ambaye hajaenda shule, kamwe hatojua umuhimu wa sensa kwa shughuli za maendeleo... Sidhani kama mtu ataweza kufananisha na mwenge! Hii ni kuikosea nidham akili zenu wote mnaopinga sennsa eti kuwa haina issue.

Hakuna anayesema kuwa sensa siyo muhimu, wanasema 'sensa ya tanzania' ndo si muhimu. Binafsi naunga mkono kuwa si muhimu kwani sirikali hii haipangi mambo yake kutokana na 'fact' bali blah blah ya akina nape tu
 
Rahisi sana kujua idadi ya watu bila.kuwa na sensa rasmi. Kila serikali ya mtaa iwajibike kujua idadi ya watu wake kila baada ya miezi sita. NBS ifanye kazi na ofisi za serikali za mitaa kuhakikisha wanapata takwimu halisi kila mwaka.

Hivi NBS kazi zao za kila siku ni nini na wana ofisi kila mkoa? Je kazi kuu ni kuandaa sensa na kunyambua data za sensa kila baada ya miaka 10?
 
sensa inafaida kubwa katika history toka utawala wa wayahudi falme za falao huko misri au mfalme herode wingi wa watu ulijulikana kutokana na sensa so far maendeleo ya watu yananzia pale, mfano huko uk sensa ilionesha growth population inakuwa kwa rate fulani na wakafanya estimation kuwa sensa tano zimeonesha ni rate furani wakajua baada ya miaka 60 watu watashindwa kutembea kwa barabara zetu wakajenga njia za chini na juu pia kuweka tren ziendazo kasi bado wakaenda zaidi kuwa magari ya kilo furani yatatumia njia ile na hiyo .haya ni mazao ya sensa LAKINI KWA TANZANIA TULIO VILAZA HATUTA TUMIA MAZAO YA SENSA KWA ASILIMIA 100 NDIPO UNAPOSEMA SENSA HAINA FAIDA.Hii ni mtu sio sensa kama ilivyo hata ww think out of the box before posing the threat,kwamba challengies ,merit and demerit of your qns,
 
Huwezi kuwa sahihi kuliko ulivyo sema mkuu. Kwa serikali hii ya KJM, Sensa hii ni aina nyingine tu ya ufisadi.
Sensa ni zoezi ambalo halina faida kabisa kwa watanzania hususani sensa
hii itakayofanyika. Serikali isiyowajali wanchi wake itafanya nini baada ya
kuwahesabu zaidi ya kuwa ni zoezi au njia ya kutengeneza nafasi ya kufisadi
pesa zetu?

Nitakapokujibu sina kazi utaniajiri?
Nitakapokujibu sina mke utaniozesha?
Nikisema kuna mlemavu utanisaidia?
Watoto utawalea....................?

Ajabu! kwa serikali hii hii ambayo memba wengi tumekuwa
tukiilalamikia leo tunaiunga mkono katika zoezi la sensa kwa
faida ya nani?

Tuache unafiki hata kama tunawachukia waislamu ukweli unabaki
pale pale kuwa sensa haina faida kabisa kabisa kwa Watanzania.
Hakuna huduma yoyote itakayoboreshwa na serikali ya CCM eti kwa
sababu ya kuhesabiwa. Wangekuwa wameanza hapo kabla
tungeamini kuwa ni kweli wana nia nzuri.................

Labda hawa wanaounga mkono kuna manufaa wanayapata.

Serikali ya msumbiji inatoa huduma kwa wazee na kusaidia
mambo mbalimbali ya kijamii. Sensa yake inazingatia kuboresha
huduma hizo.

SENSA YETU IMELENGA KUSAIDIA JAMBO GANI?
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom